Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

Jamaniii tupieniii pichaaa ya waremboko wa kilaaa mkoaa tuone ni wapiii wanaaa mvutoooo
 
Kwa utafiti wangu,hii ndo list ya mikoa kumi yenye totoz za ukweli na asilimia zake kwenye mabano

6.mara-70%

Dah mkuu umenikumbusha nyumbani kabisa hapo kwenye red.cjui nikienda likizo hii bhoke,wegessa na ghati nitawakuta?japokuwa nasikia ghati keshaolewa but old is gold
 
Na sijajua Morogoro na Mara imekaaje juu ya Kilimanjaro......?......
Hivi anatujua vizuri huyu kweli.......?...
Sio naongea taratibu.......ni kwamba hata sisi wenyewe tunajijua........hatusubiri kuelezwa na mtu.........

Ukweli huweza pata mwanamke mrembo Mara au Morogoro na akawa zaidi ya mkilimanjaro. kwa sura wengi Kilimanjaro warembo.
 
Moshi maeneo ya Kibosho, Machame, Marangu, Mwika, Mamba, Uru, Kiruwa, na kwingineko kote kupo vyema ile mbaya na fikiri tunaongoza kwa warembo yani hapendwi mtu tunajali pesa baba yangu..
 
tatizo la jamii ya kilimanjaro miguu kama fimbo meno yameoza hawana nywele wanamakomwe makubwa na wamekomaa sana suna kama wanasugulia mawe. Me nasema yes kwa kanda ya ziwa. Wajita na wasukuma mixture wahaya. Ni sheeeeda
 
haaaaaaaaaa!,Singida haipo??????,mkuu Perry, hebu tema mate chini halafu sema astakafyulah,Morogoro,Mwanza,vibungo kibao unataka kuniambia nn ww,Singida ni noma wewww
 
Last edited by a moderator:
Sitaki kuamini kama MARA nako kuna #warembo !Vita ni Vita mura. Halafu Mwanza nako mhhh.....! Kwanza kwangu watoto wazuri kama wa Mwanza wakishakua na ile lafudhi ya kisukuma tuuuu basiiii nawaona wabayaa maana siipendi kweli ile lafudhiii. Arusha na Manyara kuna mmitoto mizuri utafkiri imeshushwa.
 
Back
Top Bottom