Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,809
- 1,406
Acha ukabila, Nyerere alishaumaliza, uzuri wa demu unategemea mambo mengi hata watani zangu Wakurya wana mademu wazuri hata watusi pia wapo wabaya all in all beauty is in the eyes of beholder!
Rangi inawabeba sana mabinti wa Kimachame,kweli wazuri kinomaaaaaa!!
...kigeu geu,eee kigeugeu eeee binadamu kigeu geu eee... Y U KIGEUGEU