Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,437
- 2,158
Naomba namba za wakala wa 1xbetJukwaa limesuswa kweli kanji anapiga kwenye mshono Yani humu ndani kama vile sio jumamosi vile

🤣🤣🤣🤣Jukwaa limesuswa 😄😄 kweli kanji anapiga kwenye mshono Yani humu ndani kama vile sio jumamosi vile
Mpuuzi sana yule aliondoka na 5k yangu asubuhi asubuhi tu, Napoli naye kashanikata maini na figo, nasubiri kuzikwa tuMelbourne city Kesha tuma salamu
Mkuu nitumie link ya whatsapp na mimi tafadhali🤣🤣🤣🤣
Unajua sio kwamba limesuswa
All members wapo na still are betting,na wengine wale Wakongwe tupo nao on WhatsApp just kubadilishana mawazo
Maana humu wengine tunajuana physically maana Mbali na KuBET kuna Maisha ya Biashara
Issue ni ujuaji humu na wajuaji walikuwa weeeengii,wenye kujifunza utapeli nao teleeeeee,wenye kujifanya wao Wana Odds za uhakika huku wamechoka nao teleee.
Mbaya zaidi,wakaingia na Matapeli WAGANGA wa kienyeji🤣🤣🤣 wenye kucheza Mechi kichawi,ila hawa naona mapema walipotea maana kila wakitega wa kumpiga wapii wote wajanja ila najua wapo tu walioingia Chaka maana njaa Mbaya
Sasa watu ndio waneacha kwanza upepo wa kizazi chenye papara na KAMARI kipite kwanza,na kitaulia chenyeeewe maana KAMARI haitaki Sifa 🤣🤣🤣🤣
But members wanapita sana kusoma Uzi na mdogo mdogo watu watarudi
Kibwagizo:-
Leo CORNERS zitaongoza kutoa
YANGA vs Mamelod ipe over 1.5
Atume na Mimi niingiemoMkuu nitumie link ya whatsapp na mimi tafadhali
Ngoja tumsubiri mkuuAtume na Mimi niingiemo
nakazia:🤣🤣🤣🤣
Unajua sio kwamba limesuswa
All members wapo na still are betting,na wengine wale Wakongwe tupo nao on WhatsApp just kubadilishana mawazo
Maana humu wengine tunajuana physically maana Mbali na KuBET kuna Maisha ya Biashara
Issue ni ujuaji humu na wajuaji walikuwa weeeengii,wenye kujifunza utapeli nao teleeeeee,wenye kujifanya wao Wana Odds za uhakika huku wamechoka nao teleee.
Mbaya zaidi,wakaingia na Matapeli WAGANGA wa kienyeji🤣🤣🤣 wenye kucheza Mechi kichawi,ila hawa naona mapema walipotea maana kila wakitega wa kumpiga wapii wote wajanja ila najua wapo tu walioingia Chaka maana njaa Mbaya
Sasa watu ndio waneacha kwanza upepo wa kizazi chenye papara na KAMARI kipite kwanza,na kitaulia chenyeeewe maana KAMARI haitaki Sifa 🤣🤣🤣🤣
But members wanapita sana kusoma Uzi na mdogo mdogo watu watarudi
Kibwagizo:-
Leo CORNERS zitaongoza kutoa
YANGA vs Mamelod ipe over 1.5
Naona dc ya Napoli nilimpa peke yanguSawa, newcastle si nimempa peke yangu
Napoli ni wa kuipa game yake magoli tuNaona dc ya Napoli nilimpa peke yangu
#NoDiddyPSV OV 2.5
AC MILLAN OV 2.5
DORTMUND OV 2.5
Shwarii#
#NoDiddy