Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jukwaa limesuswa 😄😄 kweli kanji anapiga kwenye mshono Yani humu ndani kama vile sio jumamosi vile
🤣🤣🤣🤣

Unajua sio kwamba limesuswa

All members wapo na still are betting,na wengine wale Wakongwe tupo nao on WhatsApp just kubadilishana mawazo

Maana humu wengine tunajuana physically maana Mbali na KuBET kuna Maisha ya Biashara

Issue ni ujuaji humu na wajuaji walikuwa weeeengii,wenye kujifunza utapeli nao teleeeeee,wenye kujifanya wao Wana Odds za uhakika huku wamechoka nao teleee.
Mbaya zaidi,wakaingia na Matapeli WAGANGA wa kienyeji🤣🤣🤣 wenye kucheza Mechi kichawi,ila hawa naona mapema walipotea maana kila wakitega wa kumpiga wapii wote wajanja ila najua wapo tu walioingia Chaka maana njaa Mbaya

Sasa watu ndio waneacha kwanza upepo wa kizazi chenye papara na KAMARI kipite kwanza,na kitaulia chenyeeewe maana KAMARI haitaki Sifa 🤣🤣🤣🤣

But members wanapita sana kusoma Uzi na mdogo mdogo watu watarudi

Kibwagizo:-
Leo CORNERS zitaongoza kutoa
YANGA vs Mamelod ipe over 1.5
 
Screenshot_20240325-103657~2.jpg
SPORTYBET, Mtakuja kunishukuru
 
Mkuu nitumie link ya whatsapp na mimi tafadhali
 
nakazia:
huu uzi siku hizi watu wanauangalia juu kwa juu halafu wanapita hivi, kuwa kimya inaweza kusababishwa na:

-majukumu pamoja na sikukuu
-watu wamebadilisha style ya kuanalyse mechi ndiyo maana humu kimya
-mambo ya kitoto yamekuwa mengi humu, wenye akili zao wanapaona hapana maana
-codes anazochagua mtu humu itakuwa zinamwendea vibaya zinachana, anapaona hapana maana
-kuna watu wametukanwa humu, hawana time napo
-kero za matapeli
-wengine wajuaji, wakikosolewa au kuwekwa sawa wanakasirika wanapasusa.
 
Back
Top Bottom