Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tunda la roho ni upendo...
Screenshot_20230204-081321_1675487705811.jpg
Screenshot_20230204-081346_1675487673359.jpg


Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wadau nilikuwa nasuka mkeka hapa, mechi ya wolves v liver nimempa liver. Lakini kuna kumbukumbu mbaya inanijia liver alishachana mkeka kama sio mwaka 2019 au 20 tena yeye ndin alihangaika kuchomoa.
Wenzangu mnaonaje kumdhamini? Au tumpite kama hatumwoni!
 
Wadau nilikuwa nasuka mkeka hapa, mechi ya wolves v liver nimempa liver. Lakini kuna kumbukumbu mbaya inanijia liver alishachana mkeka kama sio mwaka 2019 au 20 tena yeye ndin alihangaika kuchomoa.
Wenzangu mnaonaje kumdhamini? Au tumpite kama hatumwoni!
Liverpool Leo anashinda kapoteza mechi nyingi Leo uhakika
 
sijui kwanini leo ninamhofia aseno....... unaweza kuta kanji ananitoa kwenye reli maana aseno ni uhakika
Hapo kanji anakutoa kwenye reli tu, gem za mchana zina maajabu yake hasa kwa zile timu ndogo zenye ubora kwa wakati huo, mfano ingekuwa Newcastle, Brighton v Arsenal ungehofia lakin si kwa Everton, sema leo inaweza toa under 2.5 au goli nyingi 5+
 
ESPANYOFT X
ROYAL AM FT X(MXB)

Sing
Country: 🇧🇮 Burundi

Team: ⭗ Bujumbura City - Tigre Nior
Tip: ❨Full-Time X❩ ⭗ 2.72 Odds.
__


Country: 🇮🇹 Italy

Team: ⭗ Cremonese - Lecce
Tip: ❨Full-Time X❩ ⭗ 2.72 Odds.
__

Country: 🇿🇲 Zambia

Team: ⭗ Green Buffaloes - Forest Rangers
Tip: ❨Full-Time X❩ ⭗ 2.72 Odds.
__


Country: 🇮🇹 Italy

Team: ⭗ AS Cittadella - Ascoli Calcio 1898
Tip: ❨Full-Time X❩ ⭗ 2.72 Odds.
__
 
Haya sasa, nilikua kazini toka saa tano asbh..

Sasa ni muda wa kusubiria matokeo yatakuaje.

Muda wa kusonya sasa.

All the best wakuu
 
Back
Top Bottom