inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,300
- 18,755
wanazo..unadhani hujulikani!!..poleUngelikuwa ni hivyo "password" zetu zote wangelikuwa nazo watu wa kitengo...,
wanazo..unadhani hujulikani!!..poleUngelikuwa ni hivyo "password" zetu zote wangelikuwa nazo watu wa kitengo...,
Hazijui kama wanazujua itakuwa mwenye hii website ya JF kazipeleka.....hawana uwezo huo,na ndio maana walimpeleja mahakamani huyu huyu jamaa mwenye hii JF kumlazimisha atoe password za watu fulaniwanazo..unadhani hujulikani!!..pole
Bora jukwaa la Udakuspecial kuliko hawa jamaa,wamekuwa woga kama kunguru,kitu kidogo mara wamekufungiaItabidi tufanye mpango tutafute majukwaa mengine.
Kweli kabisaaa siku hizi jf imekuwa ya kiduwanzi sanaa ,,jamaa anatumika sanaa nà kitengo,,usikute hata taarifa zetu anazitoa kimya kimya .JF siku hizi hakuna uhuru kabisa. Siku hizi tunazidiwa na.magazeti ya udaku kwa ubora! Kama mmekasirika siogopi kupigwa ban maana hamnilishi wala kunijazia mafuta kwenye gari. Tumbaku!
Hahaha ndio nataka kuzipunguzaPungiza pressure utaanguka.
Hahaha wameufichaSubiri na huu ufutwe
Hahaha kama wanatumika au wanashinikizwa na ccm mimi wanifute!Hahah itakuwa ccm mkuu
Hahaha sasa mama yangu niulize jamii forum?! Au wewe ndio umeufuta?!Badala yakuuliza nafsi yako mamaako amekula nini leo unauliza Makamu wa Rais? Idiot
Soma katiba utajua ni lini atakaimu nafasiHahaha sasa mama yangu niulize jamii forum?! Au wewe ndio umeufuta?!