Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Youngtozy1992 Yani hapo maana yake wanakuona wewe huna akili that's why wanajifanya kukusahihisha!! Tuandae mikakati endelevu ya kuwatia adabu mods!! mi ntajitolea kusoma IT ili tuwanyooshe hawa wabaguzi wakimtandao
 
Kuna wkt mods wa JF inabidi mtafakari sana.

Hivi thread yenye ujumbe kuhusu mambo ya elimu ni yakuifuta kweli?!!

Okay may be mnaona ni vyema elimu ya watoto wetu ikididimia sio?

Jitafakarini..

Hamumkomoi yeyote hapa JF ila Mnaliangusha taifa.

Naomba mrudishe thread hii ya mkuu chige


"Bombardier + Chato International Airport vs Elimu"
 
Mkuu CWR2016,

Thank you for your concern. Thread hawajaifuta ingawaje kuna muda nilipata taabu kidogo kuiona!! Nilipoiona, nilikuta wameihamisha!!!

Mwanzoni waliitoa Jukwaa la Siasa na kuipeleka Jukwaa la Elimu!!

Wakaitoa Jukwaa la Elimu wakaipeleka Mchanganyiko!!!

Hata hivyo bado naamini ilistahili kubaki Jukwaa la Siasa kwa sababu theme ni vipaumbele vs elimu!! Aidha, hivi vipaumbele vinatokana na maauzi ya kisiasa yanayotokana na wanasiasa!! Kimsingi, ni mjadala wa kisiasa kwenye elimu yetu.
 
Mwanzoni waliifuta. naona saivi wameirudisha ila jukwaa tofauti. ila hii ni suala la kisiasa na tunataka wanasiasa ndo walifahamu tatizo.
 
Mwanzoni waliifuta. naona saivi wameirudisha ila jukwaa tofauti. ila hii ni suala la kisiasa na tunataka wanasiasa ndo walifahamu tatizo.
Ni kweli, nami ndo nimegundua hivi sasa na ndio maana nimerekebisha post yangu hapo juu! Sikuwa nime-note hapo kabla kwa sababu nilikuwa offline!
 
Nimepost kitu kisicho husiana na kumkashfu mtu wala kuvunja sheria za nchi lakini from nowhere my thread imekuwa deleted ....this is not fair at all Change u guys . nyie wenyewe mnapigania uhuru wa mitandao lakini sisi humu Jf hamtupi uhuru au ndo mkuki kwa nguruwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom