mwantavangale
Member
- Mar 25, 2011
- 5
- 0
Ukiona jambo linazungumziwa ujue Lina nafasi kwenye jamii. Hivi vyama vingine havina Umoja wa vijana? Tuache kulalama what matters here is CCM has strong structures you need to deal with in create your platform and structures otherwise it may take a while ...,,
MJUE PAULO MAKONDA
Paulo makonda ni mwanafunzi ambaye ukimwangalia kwa haraka unaweza kusema ni kijana makini,mzalendo na anayejua kuchambua siasa,
Ki uhalisia kijana huyu ni mtu anayejiona kuwa yeye ni mtu anayejua kuliko wengine na kusahau kuwa siasa inahitaji umakini wa kujenga hoja,uchambuzi wa kina katika nyanza zote.
Kijana huyu alianza masomo katika chuo cha ushirika akichukua shahada ya cooperatives management and accounting (CMA) MWAKA 2007/08 ambapo alidisco(kufeli).
Mwaka 2008/09 aliomba upya kusomea shahada ya community economic development BA CED) AMBAPO PIA HAKUMALIZA MWAKA wake wa masomo.
Mwaka 2009/10 ALIKUWA KATIBU MWENEZI WA CCJ,HUKU AKIWA ANAANDALIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCJ TAIFA CHINI YA USHAURI WA MH SAMWELI SITTA AMBAYE NI PS(PERSONAL SECRETARY) WAKE.
KIJANA HUYU MWENYE NDOTO YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM TAIFA MWAKA 2013 NA MNEC CCM 2012 AMEENDELEA KUFADHILIWA NA NDESAMBURO,SITTA,MWAKYEMBE,SUMAYE,ALOYCE KIMARO,REGNALD MENGI,HAMAD MASAUNI,SHAMHUNA
KIJANA HUYU HUPENDA KUJITAMBULISHA KUWA YUPO IDARA YA USALAMA WA TAIFA.
Je ataweza kuwasaidia waliomtuma kama hao anaowashtumu uvccm? TAFAKARI.