Migogoro ya ndani kwa ndani dhidi ya chama tawala

Mafisadi wana kazi sana mwaka huu. Kwanza Karibu jamvini kwani umejiunga juzi tu kwa kutumwa na hao.....

Uwe unabisha hodi kwanza kijana.......
 
MJUE PAULO MAKONDA

Paulo makonda ni mwanafunzi ambaye ukimwangalia kwa haraka unaweza kusema ni kijana makini,mzalendo na anayejua kuchambua siasa,

Ki uhalisia kijana huyu ni mtu anayejiona kuwa yeye ni mtu anayejua kuliko wengine na kusahau kuwa siasa inahitaji umakini wa kujenga hoja,uchambuzi wa kina katika nyanza zote.

Kijana huyu alianza masomo katika chuo cha ushirika akichukua shahada ya cooperatives management and accounting (CMA) MWAKA 2007/08 ambapo alidisco(kufeli).

Mwaka 2008/09 aliomba upya kusomea shahada ya community economic development BA CED) AMBAPO PIA HAKUMALIZA MWAKA wake wa masomo.

Mwaka 2009/10 ALIKUWA KATIBU MWENEZI WA CCJ,HUKU AKIWA ANAANDALIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCJ TAIFA CHINI YA USHAURI WA MH SAMWELI SITTA AMBAYE NI PS(PERSONAL SECRETARY) WAKE.

KIJANA HUYU MWENYE NDOTO YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM TAIFA MWAKA 2013 NA MNEC CCM 2012 AMEENDELEA KUFADHILIWA NA NDESAMBURO,SITTA,MWAKYEMBE,SUMAYE,ALOYCE KIMARO,REGNALD MENGI,HAMAD MASAUNI,SHAMHUNA

KIJANA HUYU HUPENDA KUJITAMBULISHA KUWA YUPO IDARA YA USALAMA WA TAIFA.

Je ataweza kuwasaidia waliomtuma kama hao anaowashtumu uvccm? TAFAKARI.

inaonekana unamjua sana ebu tujuze zaidi ya hayo.Kama ni mtu wa hatari elezea uhatari wake ili tujue kama ina maslah kitaifa au ni ugomvi wenu.
 
mwantavangale
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 25th March 2011
Posts : 3
Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
MJUE PAULO MAKONDA

Paulo makonda ni mwanafunzi ambaye ukimwangalia kwa haraka unaweza kusema ni kijana makini,mzalendo na anayejua kuchambua siasa,

Ki uhalisia kijana huyu ni mtu anayejiona kuwa yeye ni mtu anayejua kuliko wengine na kusahau kuwa siasa inahitaji umakini wa kujenga hoja,uchambuzi wa kina katika nyanza zote.

Kijana huyu alianza masomo katika chuo cha ushirika akichukua shahada ya cooperatives management and accounting (CMA) MWAKA 2007/08 ambapo alidisco(kufeli).

Mwaka 2008/09 aliomba upya kusomea shahada ya community economic development BA CED) AMBAPO PIA HAKUMALIZA MWAKA wake wa masomo.

Mwaka 2009/10 ALIKUWA KATIBU MWENEZI WA CCJ,HUKU AKIWA ANAANDALIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCJ TAIFA CHINI YA USHAURI WA MH SAMWELI SITTA AMBAYE NI PS(PERSONAL SECRETARY) WAKE.

KIJANA HUYU MWENYE NDOTO YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM TAIFA MWAKA 2013 NA MNEC CCM 2012 AMEENDELEA KUFADHILIWA NA NDESAMBURO,SITTA,MWAKYEMBE,SUMAYE,ALOYCE KIMARO,REGNALD MENGI,HAMAD MASAUNI,SHAMHUNA

KIJANA HUYU HUPENDA KUJITAMBULISHA KUWA YUPO IDARA YA USALAMA WA TAIFA.

Je ataweza kuwasaidia waliomtuma kama hao anaowashtumu uvccm? TAFAKARI.

unaweza toa pumba hapa ukaleta japo mashudu??
 
Ukiona jambo linazungumziwa ujue Lina nafasi kwenye jamii. Hivi vyama vingine havina Umoja wa vijana? Tuache kulalama what matters here is CCM has strong structures you need to deal with in create your platform and structures otherwise it may take a while ...,,

MJUE PAULO MAKONDA

Paulo makonda ni mwanafunzi ambaye ukimwangalia kwa haraka unaweza kusema ni kijana makini,mzalendo na anayejua kuchambua siasa,

Ki uhalisia kijana huyu ni mtu anayejiona kuwa yeye ni mtu anayejua kuliko wengine na kusahau kuwa siasa inahitaji umakini wa kujenga hoja,uchambuzi wa kina katika nyanza zote.

Kijana huyu alianza masomo katika chuo cha ushirika akichukua shahada ya cooperatives management and accounting (CMA) MWAKA 2007/08 ambapo alidisco(kufeli).

Mwaka 2008/09 aliomba upya kusomea shahada ya community economic development BA CED) AMBAPO PIA HAKUMALIZA MWAKA wake wa masomo.

Mwaka 2009/10 ALIKUWA KATIBU MWENEZI WA CCJ,HUKU AKIWA ANAANDALIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCJ TAIFA CHINI YA USHAURI WA MH SAMWELI SITTA AMBAYE NI PS(PERSONAL SECRETARY) WAKE.

KIJANA HUYU MWENYE NDOTO YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM TAIFA MWAKA 2013 NA MNEC CCM 2012 AMEENDELEA KUFADHILIWA NA NDESAMBURO,SITTA,MWAKYEMBE,SUMAYE,ALOYCE KIMARO,REGNALD MENGI,HAMAD MASAUNI,SHAMHUNA

KIJANA HUYU HUPENDA KUJITAMBULISHA KUWA YUPO IDARA YA USALAMA WA TAIFA.

Je ataweza kuwasaidia waliomtuma kama hao anaowashtumu uvccm? TAFAKARI.

Hapo kwenye RED:

Mbona anaoneka kuwa na wafadhili wengi sana na kutoka sehemu tofauti za Tanzania na vyama tofauti. Mkuu inabidi utujuze zaidi hasa mgombea mtarajiwa wa Uenyekiti na MNEC anapofadhiliwa na watu wavyama vingine!

Kwahiyo sasa hivi anasoma nini?

USHAURI
Tusiendelee kudhani wasomi ndiyo wenye kujua mambo ya siasa tu na ndiyo wenye kuelewa wapi Tz inatakiwa kwenda. Pima hoja zake katika hili!
 
Ngoja mi nseme kitu, paul makonda, 2lianza nae chuo 2007, mi nikiwa nachukua shahada ya ununuzi na ugavi, ila yey alichukua shahada ya menejiment ya ushirika na uhasibu. Ni kwel alidisco na akaomba kuanza upya tena shahada ya community economic devpt, na alipofika mwaka wa pili alipospond mwaka kwa ajili ya kampen za uchaguzi, sasa mambo niliyokuwa nayaona makubwa akifanya chuoni ni kama yafuatavyo, ni muumini mzur na mlokole na alishawah kumleta mh membe kweny tamasha la dini chuo na viongozi kadhaa wa ccm akiwamo mbunge aloyce kimaro, na kingine ni kweli 2kiwa chuo kuna tetesi zilikuwepo kwamba amehama ccm na kwenda ccj lakin ckuwa na uhakika kwamba yote haya ni kwa ufadhili wa mwakyembe na sita, tatu hilo la kusema anafadhiliwa na ndesamburo labda kwa upande wang nliona ck moja ambayo alimualika mheshimiwa ndesa pamoja na viongoz wengine kweny tamasha la mwalimu jk nyerere pala ushirika studium na ndipo mh ndesa alipo wafunika wagen wenzake kwa kuingia na chopper iliyofanya wa2 weng kumshangilia sana na viongoz wengine kuona kwamba wamedhalilishwa na kijana huyu na ndipo ulipoanza mtafaruku wa yey kutaka kuhamia ccj, hilo la mengi nalo cjui kwa upande wa wengine ila paul makonda kwa kushirikiana na rais wa kipind kile isaya katongo ambaye nae ni kiongoz wa ccm wali2andalia welcome freshers ambayo kwa upande wa vinywaji meng alifadhili kwa 100% na kupitia hawa mengi pia aliweza kufadhili mambo mengi, kingine nnachofahamu ni kwamba yey ndie aliyempigia debe isaya katongo kuwa raisi wa tahiliso. Mimi ni peoples power ila haya ndo nnayoyafahamu kuhusu paul makonda
 
A highly genuine, passionate and most civilised assertion that one can good-nurturedly make on another in the picture of Mpiganaji wa Ukweli Mhe Paulo Makonda.

Ndugu Jobless, I take my hat off as a show of my voluntary heart-felt respect for this statement you have laid down and NOT created in any way in bad faith. Huyu kijana mwenzetu Makonda naona keshanawa uzuri hivyo ni ruksa kukaribia meza kuu kushiri na wazee.

Na wala sijashangazwa kwamba kumbe Paulo vile vile ni mtu ambaye anamjua Mungu na hivyo kupendelea kusema na kusimamia ukweli na ukweli mtupu na wala si kukimbiza HARUFU ZA DONARI 30 kama ambavyo vijana wenzetu UVCCM walivyodhihirishia taifa kwamba kumbe mle ni Soko la Udalali kwa FISADI yeyote atakayetoa dau kubwa zaidi ili kuitisha ngoma ikamuimbe yeye na umashuhuri wa kuchonga hata kama mienendo yake ni sawa tu na ki-ndoo chenye choo cha binadamu magerezani.

God bless you and Mhe Paulo Makonda himself.

Ngoja mi nseme kitu, paul makonda, 2lianza nae chuo 2007, mi nikiwa nachukua shahada ya ununuzi na ugavi, ila yey alichukua shahada ya menejiment ya ushirika na uhasibu. Ni kwel alidisco na akaomba kuanza upya tena shahada ya community economic devpt, na alipofika mwaka wa pili alipospond mwaka kwa ajili ya kampen za uchaguzi, sasa mambo niliyokuwa nayaona makubwa akifanya chuoni ni kama yafuatavyo, ni muumini mzur na mlokole na alishawah kumleta mh membe kweny tamasha la dini chuo na viongozi kadhaa wa ccm akiwamo mbunge aloyce kimaro, na kingine ni kweli 2kiwa chuo kuna tetesi zilikuwepo kwamba amehama ccm na kwenda ccj lakin ckuwa na uhakika kwamba yote haya ni kwa ufadhili wa mwakyembe na sita, tatu hilo la kusema anafadhiliwa na ndesamburo labda kwa upande wang nliona ck moja ambayo alimualika mheshimiwa ndesa pamoja na viongoz wengine kweny tamasha la mwalimu jk nyerere pala ushirika studium na ndipo mh ndesa alipo wafunika wagen wenzake kwa kuingia na chopper iliyofanya wa2 weng kumshangilia sana na viongoz wengine kuona kwamba wamedhalilishwa na kijana huyu na ndipo ulipoanza mtafaruku wa yey kutaka kuhamia ccj, hilo la mengi nalo cjui kwa upande wa wengine ila paul makonda kwa kushirikiana na rais wa kipind kile isaya katongo ambaye nae ni kiongoz wa ccm wali2andalia welcome freshers ambayo kwa upande wa vinywaji meng alifadhili kwa 100% na kupitia hawa mengi pia aliweza kufadhili mambo mengi, kingine nnachofahamu ni kwamba yey ndie aliyempigia debe isaya katongo kuwa raisi wa tahiliso. Mimi ni peoples power ila haya ndo nnayoyafahamu kuhusu paul makonda
 
Naona umejiunga kwa kazi maalumu ya kumchafua huyu kijana.kwani hujaona aliyoyasema yana mantiki? au yanakosa mashiko kwa kuwa kayasema Makonda?
 
Hatuhitaji siasa za kuchafuana wewe uliyeyasema ya paulo tunahitaji hoja za msingi siasa za aina hiyo hazina nafasi kwa kizazi hiki cha sasa.Jibu hoja za paulo na kutoa ufafanuzi wa alichokisema.
 
FALSAFA NZURI YA CHAMA CHA SIASA NI SHARTI IAKISI JAMII HUSIKA NA
UHALISIA WA MATUMAINI / NDOTO ZAO, MAZINGIRA WANAMOISHI,
URAHISI KUKUMBUKIKA / KUELEWEKA KWA FALSAFA YENYEWE NA YENYE KUENDANA VILIVYO NA KIPINDI KATIKA MAISHA WANAMOISHI

Nitangulie kuwapa hongera sana sana tena sana CHADEMA kwa kuweza kuibuka na falsafa ambayo kiujumla ni sura halisi ya matakwa ya Wa-Tanzania na safari yetu ndefu kama jamii moja katika maisha haya. CHADEMA na falsafa ya "Nguvu na Mamlaka ya Umma" yatoooosha!!

Hakika kwa ufahamu wangu falsafa ya CDM imekidhi misingi yote muhimu kiasi cha kutosha kututambulishia kwamba CHADEMA ni watu gani katika jamii yetu, wanaamini katika lipi na siku zote tuwafanyie tathmini katika uendeshaji wa shughuli za kila siku katika taifa hili huku wananchi tukizingatia misingi gani hasa zinazotambulika rasmi.

Ndio, Falsafa ya Chama Cha Siasa si sawa na mtu kufanya ziara binafsi kwenye mbuga za wanyama kokote duniani. Wala Jambo hili halipigiwi KOFULI MLANGONI kwamba haukua nalo jana leo hii ukitangaza kuwa nalo basi ni kosa la jinai - laa hasha!! Hivyo mtu kusema kwamba labda kwa kuwa Mwenyekiti Mstaafu, Mhe Edwin Mtei, katika mahojiano yake na vyombo vya habari pengine miaka 5 iliyopita hakulitaja falsafa ya Chama; hiyo peke yake hakizuii chama kuweza kupiga hatua zaidi kwa KUJIPA SURA HALISIA kisiasa nchini.

Kiukweli, kupokezana kule kete la majukumu ndani ya Chama na hiyo ndio maana tunasema CHADEMA ni cha Wa-Tanzania wote na wala si mali ya mtu binafsi kama vilivyo vyama vingine vya mifukoni hapa nchini hivyo kama Mzee Mtei aliweza kutekeleza hatua fulani muhimu kwa uhai wa chama hiki basi nasisi Vijana Wa-Tanzania wenye mali yao tunaendelea kukamilisha mengine na mengi zaidi mazuri bado yako njiani yanakuja - kaeni mkao wa ushindi kote nchini!!

Nielewavyo mimi, falsafa ya Chama Cha Siasa kwa maelezo miepesi ni UJUMLA WA MAWAZO NA FIKRA yanayotafuta kumtambulisha mtu na au Chama na kile anachokiamini, kupenda kuliona likitendeka kwa jamii yake na kwamba yuko tayari kuwekeza muda na rasilmali nyinginezo muhimu kuendeleza fikra na mawazo hayo kwa faida na maendeleo ya jamii katika ujumla wake.

le majibu ya maswali ya msingi kama vile; (1) nyinyi kama Chama cha siasa wananchi tuwatambueni kuwa muu akina nani hasa?? (2) mnaamini katika mambo yepi hasa ambayo lasimamia ambayo ndiyo itakayokua ni chimbuko na muongozo wa shughuli zenu zote kiutendaji kama chama.

Na kwa mantiki hii ndipo nako tunapotangaza kwamba ni mwisho wa SIASA ZA MKUMBO huku tukifungua ukurasa mpya wa siasa za kisasa zenye kuegemea misingi ya wazi na iliotukuka mioyoni mwa Wa-Tanzania tuliowengi.

Hadi hapo nawashauri vijana wenzangu kote nchini na wananchi kwa ujumla kwamba maadam sote tumeshajionea madhara makubwa yalioletwa na falsafa mpya ya Chama fulani nchini; falsafa ya 'Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya' pasipo kuelewa hasa dira zima ya wapi tunakopelekwa kama taifa, na hatimaye kutokea ajali ya mwaka kisiasa ambapo chama hicho hivi sasa kimeparaganyika vipande 200 kidogo, ni muda muafaka sote tukajiunga CHADEMA leo hii na wala si kesho.

Hakika CHADEMA pekee ndiyo nyumba salama kisiasa kwa watu wa rika zote, dini zote, rangi zote, jinsia zote na daraja zote za uelewa sawa na vile ambayo hata Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliiona na kutuambia kwa kinywa kipana sote nchini.
 
Mwantavangale yaani asubuhi na mapema umeamua kutuma thread hapa JF,ya kumuanika Paul Makonda ili iweje? Kama siasa zenu za UVCCM ni za maji taka usitake kuanika utupu wenu huku JF. Kama kweli wewe una mapenzi mema na nchi hii basi toa CV ya SHIGELA, BASHE na MALISA humu JF ukiziweka pamoja na Paul Makonda ili watu wawa pime. Yaani mpaka sasa umetuma post 3 lakini tayari umeanza kuchafua wenzako ina maana umetumwa hapa na UVCCM kwa kazi maalum? AU umejituma mwenyewe kwa kuwa huna mausiano mazuri na Paul? Napenda nikueleze kuwa JF si kijiwe cha majungu na kujadili watu, ni vyema utueleze kwa nini unataka tumjue PAUL MAKONDA kwa kutumia maelezo uliyoyatoa kumuhusu, maana umeonyesha upande wake mmoja tu wa madhaifu lakini ujaonyesha upande wake wa uimara sasa tumjue kwa kufahamu udhaifu wake tu ili iweje?
Kumbuka hatupo hapa kujadili watu tupo hapa kujadili HOJA tena za msingi na zenye maslahi kwa taifa letu. Kama umetumwa kawaambie waliokutuma JF sio kijiwe cha majungu na kuchafuana wamenitimua, na kama umeingia humu kwa mapenzi yako badili tabia na uishi humu kama wanaJF tuishivyo.
 
Kwa sifa hizo, utakuwa unathibitisha tu kwamba CCM ni kawaida yao kuvuta watu ambao ni useless au failures ili muradi wakose aibu ya kusimama jukwaani. Wanaweza kuwa wacheza kiduku au waibaji tu. Hatari tuliyonayo ni jinsi hawa watu watakavyoweza kutusaidia ktk kuunda sera na kuendesha serikali.

Huko tuendako ni taifu mfu linalotumia wadhaifu wa akili kuendesha siasa. Of course hali hii tayari ilikwisha anza.

Lakini jitahidi kurekebisha mbinu za kuleta message maana inaonekana kama umbeya.
 
MJUE PAULO MAKONDA

Paulo makonda ni mwanafunzi ambaye ukimwangalia kwa haraka unaweza kusema ni kijana makini,mzalendo na anayejua kuchambua siasa,

Ki uhalisia kijana huyu ni mtu anayejiona kuwa yeye ni mtu anayejua kuliko wengine na kusahau kuwa siasa inahitaji umakini wa kujenga hoja,uchambuzi wa kina katika nyanza zote.

Kijana huyu alianza masomo katika chuo cha ushirika akichukua shahada ya cooperatives management and accounting (CMA) MWAKA 2007/08 ambapo alidisco(kufeli).

Mwaka 2008/09 aliomba upya kusomea shahada ya community economic development BA CED) AMBAPO PIA HAKUMALIZA MWAKA wake wa masomo.

Mwaka 2009/10 ALIKUWA KATIBU MWENEZI WA CCJ,HUKU AKIWA ANAANDALIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCJ TAIFA CHINI YA USHAURI WA MH SAMWELI SITTA AMBAYE NI PS(PERSONAL SECRETARY) WAKE.

KIJANA HUYU MWENYE NDOTO YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM TAIFA MWAKA 2013 NA MNEC CCM 2012 AMEENDELEA KUFADHILIWA NA NDESAMBURO,SITTA,MWAKYEMBE,SUMAYE,ALOYCE KIMARO,REGNALD MENGI,HAMAD MASAUNI,SHAMHUNA

KIJANA HUYU HUPENDA KUJITAMBULISHA KUWA YUPO IDARA YA USALAMA WA TAIFA.

Je ataweza kuwasaidia waliomtuma kama hao anaowashtumu uvccm? TAFAKARI.

XN##@XX!!...XX***~~~??##???!!!!!!!! wewe umepewa ngapi!!!:frusty:
 
UVCCM umeishageuzwa mradi wa mafisadi wachache wanawatumia vijana wenye uroho wa madaraka kwa ajili ya maslahi yao kila mtu akiamka asubuhi utasikia anatoa tamko anakwambia hakuna mtu aliyemtuma ni yeye mwenyewe mpaka ifike 2015 CCM kila kukicha wanavuana nguo wenye kutaka madaraka nao wanakuja kwa njia nyingi, Rais naye amekaa tu kama mnara wa Askari inasikitisha sana.
 
kwanini huyu kilaza asiwaachie wakina malisa wajibu hoja za paulo , hatuhitaji kujua paulo ninani tnahitaji kusikiliza anasema nini na kina ukweli gani
 
nimepapenda hapo..huyu mshkaji ana point.wanachofanya uvccm ni utovu wa nidhamu,hata kama ni siasa lakini kujibishana na wazee wenye umri kama baba zao,kwakweli ni kukosa maadili

Hawa UVCCM ni vijana miongoni mwa vijana Watanzania. Kama wanakosa nidhamu inabidi wakemewe si kwamba ni wana CCM bali kama vijana wa Kiatanzania. Watanzania tusiruhusu ukengeufu wa tabia na utapiamlo wa nidhamu kama ulivyoonyeshwa na hawa viajana. Kweli Shigela anadiriki kutoa matusi ya nguoni kwa mzee kama Sumaye? Ala hili halikubaliki. Ati uwezo wake mdogo, kweli? Huyu mtu amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi na vijana walikuwa wakimshangilia na kuwatumia chipukizi kumvika skafu leo hii ati uwezo wake ulikuwa mdogo? Ukimtukana mzee unakosa radhi nadhani na hawa UVCCM hawana radhi za wazee wa nchi hii. Wakemewe kwa nguvu wasitake kutuingiza katika malumbano ambayo hayana tija kwa nchi yetu hii mwanana
 
UVCCM imekosa mwelekeo, eti wataandamana nchi mzima kuwapaka matope wazee waliothubutu kusema ukweli. Nani atapoteza muda kwenda kwenye maandamano ya genge lililokosa mwelekeo? Mbona hawajaandamana kupinga ufisadi na wizi wa mali za umaa? Ama kweli mafisadi wameiteka ccm.
 
Kijana Paulo Mkonda nakuomba wala usiendelee kulumbana na mawakala wa ufisadi ndani ya UVCCM tena mpaka kwanza wawe wamejibu hoja zako na wananchi wakaturidhisha pasipo na maswali zaidi yanayobakia kwa kuning'inia bila kujibiwa ipasavyo.
 
Back
Top Bottom