Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,658
- 46,324
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?
Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya jinsi ya kuongoza nchi na kufanya shughuli za maendeleo?
Ni sahihi chama tawala kudai uwajibikaji wa watendaji na watumishi wa serikali kwake?
Katika demokrasia ya Magharibi na nchi nyingi za mfumo vyama vingi vyama huwa havina nguvu tena kwa waliochaguliwa au serikali. Katika utawala wa China Chama kina nguvu juu ya serikali lakini huko ni utawala wa chama kimoja
Je, mfumo tulio nao wa utawala unafanana na kwingine duniani au ni wa kipekee na hivyo tunawesa kusema au kujivuna hii ni model ya utawala ya Kitanzania kwa sababu haipatikani kwingine kokote duniani.