Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Sasa aki negotiate contract kosa,akisubiri majaaliwa anapigwa chini kwa madai kuwa amewahiwa! Men!!

Ennie just listen to me achana na huyo King'asti yeye ana lake jambo.......................alichotakiwa kufanya ni kusema..........."Mie nauliza tu........hivi mwelekeo wa hili ni wapi?" So simple and the answer would have been...........do you have any ideas where you want us to take this thing of ours to?
 
Last edited by a moderator:
hapo ndipo nawaza, tumekutana PIN Point ama bilcanas
tukanywa vinywaji na kucheza pia na mauno tukapeana
Sasa walalama nini wakati hatukupeana tafsiri ya kesho?

Kifulambute wadodose vizuri na watujibu.......lol badala ya kuja juu hususani [MENTION]LD[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Ahhhhgghh kaka!!! mpe chakula yake. huyu anaoneka ana jeraha, na kulingana na wasifu wake anaoneka utamjutia huyu. alas!

Mziba washabikia sera za kubanana?
 
Last edited by a moderator:
kCAUwcFykZ62bF6nrWezO6OFnyiBiAhjtvM0N6HWm1U6Kgk5ACVAq1MgfV5o88Zy5mnEAAAAASUVORK5CYII=
By LD

Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.

LD hata mie kaniboa sana. . .
Pole mwaya!!

[MENTION]LD[/MENTION] usichojua ni kuwa ya malimwengu tuyaonglee tu hata kama yanakwaruza ndiyo kujifunza huko..........ukubwa huo...........na wewe Lizzy unapenda vya mteremko tu? Jua yakuwa kuna wakati itabidi upande mlima hata kama vya uvunguni vimeliwa.............
 
Last edited by a moderator:
Ikumbukwe ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili
sasa kama hatujakaa siku tukakubaliana malalamiko ya nini.
nitamwoa nitakayekubaliana nae na kama wewe hatujakubaliana kitu chochote ya nini ulalame?

kama kila tukikutana wakata mauno na kuondoka zako , wenzako wakata mauno na kudai mwafaka wa kesho
 
Hahahahahaha..hii inaitwa kung'ata na kupuliza!lol Rutashubanyuma....wewe kesho uliiweka kapuni kwa makusudi bana acha kumuonea mwenzio,
Yeye alitaraji wewe mwanaume ungesema kesho yenu kumbe mshkaji ulikua unapita, duh!
aya bwana...ujus reminded me of me!!!!! very fuuny...
 
Last edited by a moderator:
kCAUwcFykZ62bF6nrWezO6OFnyiBiAhjtvM0N6HWm1U6Kgk5ACVAq1MgfV5o88Zy5mnEAAAAASUVORK5CYII=
By LD

Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.

I can understand you, yaani kumplease mama's boy kama Ruta you have to be a devil himself! Yeye siku zote ni victim, makosa yote ni ya wanawake.

Achana na [MENTION]LD[/MENTION] kabisa wee Kaunga.......[MENTION]LD[/MENTION] ni wangu tu hana pa kwenda............................na hilo alijua na akikasirika ni dalili nimemfikisha anapotaka kufikishwa.............lol

Sasa nimekuwa mama's boy...........mie sina mamlalamiko kwa hiyo siwezi kuwa muathirika ila safari hii na lalamikiwa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: LD
dah, kama alikata kiuno anatembeaje sasa?
Atakuwa kama gari limekata senta bolt.

Kongosho hujawahi kukata kiuno au hata kukatiwa na kikabaki solemba?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga hayo sasa ni ya kwako......too speculative....that is what I see......

Ruta ulizungumzia Utii, mwanamke akiwa na utii mwanamume atampenda. Na wewe umekiri kuwa binti alikuwa mnyenyekevu, na zaidi alikupa vitu vizuri; assumption yangu na wengine according to ur vigezo ungenpenda!

Lkn kaja mwingine, kakutongoza (si ndio kumwaga sera) na tayari kazungumzia 'kesho' nawe umeridhia!

At least mimi wanichanganya, labda uniambie nisiwe natake thread zako serious. I and l will stop to 'sound like ur mom'!
 
Last edited by a moderator:
I am also excluded...pole zao wanaougua ugonjwa huo

Ndahani I can only hope it comes deep from your heart........because I feel you are very insecure to defend yourself with such intensity
 
Last edited by a moderator:
Inashangaza kweli. . .
Eti alomtumia mwenzake anafagiliwa na huruma anaonewa ,dada wa watu ndio anaonekana mbaya. Kesho kutwa utasikia anaanzishiwa thread nyingine ya "anantumia mtoto"akitaka matumizi makubwa. Kisa, yeye ndo kageuka mtumiaji na hiyo HAIKUBALIKI kwa Ruta. . .yeye tu ndo anaeruhusiwa kutumia wenzie na akimaliza alalamike yeye. Some men. . . hasara tupu.

Lizzy na wewe wa ajabu mwanaumme hakukani...........huoni hiyo ni hatua moja umepiga mbele kwa mbele...............kam ahukufunga mahesabu yako asubuhi nani unamlaumu? Funzo ni kuwa hakikisha hesabu zako umezikamilisha asubuhi jioni unahesabu mfaranga yako tu..............na kunakuwa na shari kila mahala.............
 
Last edited by a moderator:
Ndahani I can only hope it comes deep from your heart........because I feel you are very insecure to defend yourself with such intensity

Never worry Ruta...insecurity is also a state of mind rather than the position or a situation. But all in all, hii mda hakikisha bi mkubwa hajaiona. Italeta balaa kama mesenja aliyekosea wapi pa kupeleka maagizo
 
Never worry Ruta...insecurity is also a state of mind rather than the position or a situation. But all in all, hii mda hakikisha bi mkubwa hajaiona. Italeta balaa kama mesenja aliyekosea wapi pa kupeleka maagizo

Ndahani tuko sote na ukweli wabakia it pays to know where you are with your partner from the very beginning rather than hoping for the best and your aspirations are shattered you begin blaming him for no wrong in his part............biashara hakikisha yafungwa asubuhi......................na jioni hesabu faranga zako kwisha ya khabari............ile kusema mie nilidhani mambo yako vile au yangelipaswa................kuwa vile.....lazim aile kwako
 
Last edited by a moderator:
Hayo matatizo ya waume wa sasa. Lol, sasa Rutashubanyuma ulitegemea akwambie nataka unioe? Lol

Raha ya penzi kunoga, shurti aanzishe kidume,
Vipi itawezekana, mwanamke ayaseme?
Eti, hapa tulipofikia, nakuomba uwe Mume
Lol, Mara utasikia, huyu demu dume dume

Hawa ndo wanaume wa sasa bwana

Ukimwambia nakupenda, atadai unamwibia
'Tasema una lako jambo, mauno ukimkatia
Mauno ukizidisha, 'takuita changudoa
Lol, Mara utasikia, huy demu dume dume

Tufanyeje sasa
Mabinti tumeumbiwa, Vidume kusubiria
Hatutaki kukimbilia, Kutii kwetu sawia
Sasa mnatulaumu, Eti hatukuwambia
Lol, Laiti tungesema, mngetwita dume dume
 
Ruta ulizungumzia Utii, mwanamke akiwa na utii mwanamume atampenda. Na wewe umekiri kuwa binti alikuwa mnyenyekevu, na zaidi alikupa vitu vizuri; assumption yangu na wengine according to ur vigezo ungenpenda!

Lkn kaja mwingine, kakutongoza (si ndio kumwaga sera) na tayari kazungumzia 'kesho' nawe umeridhia!

At least mimi wanichanganya, labda uniambie nisiwe natake thread zako serious. I and l will stop to 'sound like ur mom'!

Kaunga........lolote ninalolibandika hapa lipo na linatokea..................na in life hakuna a direct formular to success but there are guidelines.......................huyu ni mtii na alipendwa sana tu lakini uhusiano haukuwa na malengo yanayoeleweka pande zote mbili.

Akazuka mwingine mwenye sifa kama zake na akasisitiza angelipenda ajue uhusiano huo una mwelekeo upi huku akionyesha ya kuwa yeye ni pingu tu za milele ndizho anachotaka akapewa alichoomba.............

Wa awali nay alipewa alichoomba na kukitafuta........baada ya kugundua kaachwa solemba ndiyo manung'uniko yakaanza ya kuwa mbona kafanyiwa unyama ule................njemba ikamjibu mie sikujua kumbe nawe hizi pingu za milele ulikuwa unazihitaji....................na akaishia kusema I really wish you had mentioned this to me......................

no workable formula for everyone..................it all about beating the bush....................kwa hiyo usichanganyikiwe ila ujue what works here may not work there...................khalafu jingine hizi mada hazina uhusiano wowote na mtunzi ila anajaribu kuyazungumzia matatizo ya jamii tu na kujaribu kuwashirikisha katika kuyatafutia majibu yake........
 
Last edited by a moderator:
Hayo matatizo ya waume wa sasa. Lol, sasa Rutashubanyuma ulitegemea akwambie nataka unioe? Lol

Raha ya penzi kunoga, shurti aanzishe kidume,
Vipi itawezekana, mwanamke ayaseme?
Eti, hapa tulipofikia, nakuomba uwe Mume
Lol, Mara utasikia, huyu demu dume dume

Hawa ndo wanaume wa sasa bwana

Ukimwambia nakupenda, atadai unamwibia
'Tasema una lako jambo, mauno ukimkatia
Mauno ukizidisha, 'takuita changudoa
Lol, Mara utasikia, huy demu dume dume

Tufanyeje sasa
Mabinti tumeumbiwa, Vidume kusubiria
Hatutaki kukimbilia, Kutii kwetu sawia
Sasa mnatulaumu, Eti hatukuwambia
Lol, Laiti tungesema, mngetwita dume dume

bombu.......................nona wewe sasa kwenye anga za tenzi za mahaba umekamilika...............nimefurahi unajua thamani ya utii wengi wenzio humu ndani ya hili jamvi wanauponda kabisa......................n akibuti hawawezi kukikwepa................

yapo mafunzo kwenye hii tenzi yangu nayo ni:-

1) masuala ya pingu za maisha ni Muumba tu ndiye mpangaji kwa hiyomtu asitegemee matendo yake ndiyo yamefanikisha hayo

2) Fahamu kwenye lindi la mahaba unatoka wapi, uko wapi na waelekea wapi..................Jitahidi kufunga hesabu zako asubuhi hasa katika huu ulimwengu ambao nanyi mwadai mnaweza.....................kama mnaweza si ulizia tu hivi hizi purukshani zina mwelekeo gani kwani kwako ni usiku wa kiza tu............

3) tenzi zangu hazinihusu katika maisha yangu hata kama huwa ninajimilikisha ili kuongezea majoto/ hisia.......kwa hiyo kuziunganisha na zile zilizotangulia ni kujichanganya tu.........mie naongelea matatizo ya jamii na kujaribu kupendekeza namna ya kuyatatua..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom