Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Inashangaza kweli. . .
Eti alomtumia mwenzake anafagiliwa na huruma anaonewa ,dada wa watu ndio anaonekana mbaya. Kesho kutwa utasikia anaanzishiwa thread nyingine ya "anantumia mtoto"akitaka matumizi makubwa. Kisa, yeye ndo kageuka mtumiaji na hiyo HAIKUBALIKI kwa Ruta. . .yeye tu ndo anaeruhusiwa kutumia wenzie na akimaliza alalamike yeye. Some men. . . hasara tupu.
Nani huwa anamtumia mwenzie?
 
ruta, mjibu Ms Judith...unaonekana kumuonea huyo bibie kama vle jukumu la maandalizi ya kesho lilikuwa kwake pekee, kama vle hakuna ulchofaidi kwake, kama vile alikulazmisha kuwa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anayepokea mapenzi ya mwenzie na kumhadaa aongeze mautamu huku akijua fika hana muda nae.

Kipimo cha utamu ndiyo tatizo, unajuaje kama unyoongeza ni mazuri au mabaya.
Waweza jidai unaongeza kumbe ndiyo unapunguza kama sio kuharibu kabisa!.
Ukajikuta unakimbiwa.
 
hivi mnaongelea kiuno hiki hiki cha kuvalia suruali na sketi?

Mbona mnakipamba sana? Sijaona hiyo magic ya kiuno kiasi hiki.
 
Mkuu Rutashubanyuma wewe toa elimu bana
Wanaokushutumu najua na wao kuna sehem unawagusa
na kama unagusa interest za watu ni lazima wawe wakali aise
We fanya kazi yako mkuu tena ukiw ana uwezo wa kufanya hayo

Mr Rocky nimekupata loud and clear...............
 
Last edited by a moderator:
I think hadaa iko kwenye mapokeo yako ya mauno, mwenzio akahadaika kuzidisha maufundi..........kumbe....... ...lol.
Sasa basi nadhani nikubaliane na wewe maana japo kwa mawazo yangu ya mwanzo yalilenga kumtetea mdada kwa sababu inauma sana matarajio yako kwenye mapenzi yanapokuwa tofauti, nakubaliana na wewe sababu japo wewe unaonekana ni villain lakini inabidi kujenga tabia ya kufanya mapenzi kwa makubaliano..........dhana ya utii inajengwa kutokana na wadada kuheshimu dhamana aliyokuwa nayo mwanaume kama "kichwa" katika maamuzi mengi hivyo hudhani kuwa kwa kutoa viashiria fulani mwanaume atamsoma na watapanga mipango kwa njia ya telepathy

lemonade tupo pamoja..............funzo hapo ni kuwa mawasiliano tuache kujivunga na kupashana khabari mara kwa mara ili kila mmoja ajue kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
1.
kama mauno ulikatiwa, kwa nini ulijichomoa,
kama mchezo aujua,kwa nini hukumridhia,
kama alikukinga jua, kwa nini wewe ulimchomea?
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

2.
kama mauno ukikatiwa, na moyo wako ulitulia,
kwa nini hukusubiria, ile kesho muweze ifikia,
kwa nini uliparamia, vihongwe na viruka njia,
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

3.
kama mauno ukikatiwa, hadi kuja hadithia,
raha ilipokuzidia, ya kesho mbali ulitupilia,
wote mwana mlichelea, ila yeye pekee alia!
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

4.
kama mauno ukikatiwa, kwa nini hukumzingatia?
pendo lake lithaminia, badala ya visa ulomfanyia,
utamkosa wa kukuimbia, na kuambulia wa kukugunia,
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

[MENTION]Miss Judith[/MENTION] mawasiliano yalikuwa mabovu panda mbili.......mie nilidhani ana mshikaji bora kuliko mie kumbe sikujua kuwa alikuwa kwangu kafika............nilipogundua .......it was too late to catch a departed plane.....mambo yalikuwa yameharibika sana...........

Naona kwenye hii tasnia ya tenzi za mahaba nawe wapangaji wamejaa vilivyo..........duh.........
 
Khaaa...riziki uliijua baada ya kummega mara za kutosha sio!??
Duh...

Mentor mbona hata yule mjuaji alimegwa tu na haikumwaribia lolote lile? Kwani matarajio yake niliyakubali tu!
 
Last edited by a moderator:
Nani huwa anamtumia mwenzie?

Kyaiyembe umechimbua mzizi wa fitina.......................kidume ndiye hutumiwa lakini wadada wajanja sana kwenye hilo huwa wanatugeuzia kibao kuwa wao ndiyo waathirika.......lol

Zege lote ummiminie tena huja na virutubisho vyake na mdada hana gharama yoyote ile na ambavyo akienda kwenye famasia vingelimgharimu mamilioni kuvinunua. Shukrani yake ni kuwa yeye ndiye mwathirika wajamani tuangalie hii khali kwa undani ukizingatia akivikosa afya yake yaweza kuzorota...........
 
Last edited by a moderator:
Kosa lako ni kuwa kwa nini ulitaka aseme yeye kuhusu "kesho yenu" na hukusema wewe mwanzo? Agalau kumwambia tu kuwa huu ni mchezo wa kupita. Inaonesha ulikaa kimya kusudi ili upate pa kutokea kwa kisingizio cha
"Hakuna ahadi niliyokupa au hata wewe kunipatia pia."

Kutokana na kauli hii...
Manung’uniko yako yamenifikia lakini mwenzio kakuwahi!
...inaonekana kama kwako wewe atakayekuja na dau kubwa la "kesho yenu" ndiye atakayeondoka na mali". Nina wasiwasi akija mwengine na ahadi nzuri kuliko huyu wa sasa, utaanzisha uzi
Kweli tuliahidiana, lakini mwenzio katoa ahadi nzuri zaidi!

Yote tisa, la kumi ni title ya huu uzi
Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
That's all what she did "kukata mauno na kujua mchezo?" Hakuwa na sifa nyengine? Ila yake ni kutokudai mkataba mapema tu? When she was supposed to ask for it, the first day, during the first buno?
 
ruta, mjibu Ms Judith...unaonekana kumuonea huyo bibie kama vle jukumu la maandalizi ya kesho lilikuwa kwake pekee, kama vle hakuna ulchofaidi kwake, kama vile alikulazmisha kuwa hapo.

[MENTION]Mapi [/MENTION]huyu [MENTION]Miss Judith[/MENTION] anajua namna ya kunishambulia na lazima aendewe kinamna siyo kwa papara....................hata hivyo keshajibiwa............ya kuwa mawasiliano ndiyo nguzo ya mahusiano pia...........
 
Yeyote anayepokea mapenzi ya mwenzie na kumhadaa aongeze mautamu huku akijua fika hana muda nae.

Lizzy hana muda naye kivipi na watu tumepeana penzi la nguvu kiasi hicho hadi mjuaji alipokuja kuchukua cha kwake bila ya huruma yaani tu.................
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, King'asti anajifanyaga kichwa ngumu tu...lakini, kumpima mjusi joto, inahitaji timing
ntUaGlzIGFuaW1hdGVkIEdJRiBmaWxlIHdhcyBjb25zdHJ1Y3RlZCB1c2luZyBVbGVhZCBHSUYgQW5pbWF0b3IsIHZpc2l0IHVzIGF0IGh0dHA6Ly93d3cudWxlYWQuY29tIHRvIGZpbmQgb3V0IG1vcmUuAVVTU1BDTVQAOw==

Ni kweli Kaizer.......anatakiwa King'asti kujua ya kuwa biashara huanza asubuhi ukiona hakuna mwelekeo yapaswa ahisi ...something is wrong there
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ulimwambia (nakumpenda), sasa haumwambia tena neno hilo ndiyo utapeli wako!

Kyaiyembe.........si jana tu au leo tu au hata kesho mie nitaendelea kumpenda kwa moyo wangu wote ingwaje haiwezekani niwe naye tu........kwani kumpenda mtu lazima uwe naye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom