Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Napita tuu hapa japo Rutashubanyuma wewe ni balaa

Mr Rocky..........................balaa latoka wapi wakati mie nashauri tu jamii iwe angalifu na iache kuzubaa zubaa hivi..............haya mautenzi hayanihusu hata chembe binafsi ila ni matatizo ya jamii niyaonavyo..........
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha..hii inaitwa kung'ata na kupuliza!lol Rutashubanyuma....wewe kesho uliiweka kapuni kwa makusudi bana acha kumuonea mwenzio,
Yeye alitaraji wewe mwanaume ungesema kesho yenu kumbe mshkaji ulikua unapita, duh!
aya bwana...ujus reminded me of me!!!!! very fuuny...

Mentor labda haikuwa riziki yetu naye......................labda alipangiwa mwingine
 
Last edited by a moderator:
Ikumbukwe ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili
sasa kama hatujakaa siku tukakubaliana malalamiko ya nini.
nitamwoa nitakayekubaliana nae na kama wewe hatujakubaliana kitu chochote ya nini ulalame?

kama kila tukikutana wakata mauno na kuondoka zako , wenzako wakata mauno na kudai mwafaka wa kesho

BIG POINT...........Kifulambute......ni vyema wakajua wanatoka wapi, wako wapi na waelekea wapi..........vinginevyo kilio kitawafuata walipo popote pale..............
 
Last edited by a moderator:
Vitu vyema hutoka kwenye mawazo mema!

Eiyer.....yaani hayo hayakuwa mawazo mema? mbona mwenzie alifanikiwa..............................nafikiri tatizo ni uhaba wa mawasiliano au unguli wa kuwekana sawa.......
 
Last edited by a moderator:
Hizi medhali na Nahau kwenye hili shairi naona vinanizingua! Ngoja nimtafute Mzee mzima Mudhihiri wa Mudhihiri aweze kunifafanulia lugha hii nadhimu ya kiswahili! Lkn Big Up kwa huu msemo - Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Ndallo Mudhihiri wa Mudhihiri.........lugha anaijua?
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio panaponichoshaga msasha Kaizer, ukiuliza kosa, ukinyamaza kosa. Khaaa I Love me and I myself

[MENTION]LD[/MENTION] loving yourself is also not without its own associated risks..........going against nature has always been tough too..........companionship still the best thing out there though we have to acknowledge we are doing it at are own risks................
 
Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.

[MENTION]LD[/MENTION] kuulizia siyo ujinga ....................angeuliza angelijua moyoni kwangu nimebeba nini..khalafu don't take it personal mie ni mtunzi na mjumbe hauwawi........haya ni matukio nimeyaona laivu hapa Arusha nami ninachofanya nikuwatahadharisheni kuwa be watchful of where you are coming, where you are going and where you you are................nothing personal to me...................tunapsawa kujifunza kwa makosa ya wengineo badala ya kusubiria yatukute ndiyo tufumbue macho.
All the same, i love you[MENTION] LD[/MENTION].....you are very honest..........
 
Mr Rocky..........................balaa latoka wapi wakati mie nashauri tu jamii iwe angalifu na iache kuzubaa zubaa hivi..............haya mautenzi hayanihusu hata chembe binafsi ila ni matatizo ya jamii niyaonavyo..........

Mkuu Rutashubanyuma afadhali unayaona na unasema wengine wanayaona na wanakaa kimya
Wanayaona kama sio ya kwao so wanayaacha bila kuyatolea suluhisho lolote
 
umenielewa, so unampa nafas nyngne au ndo taratiiibu unateleza kama samaki??? Hayo mauno huyatak tena? Kama vp nipigie pande
 
Ruta wewe ni hadaa, uliona wapi mwanamke anakukatikia mauno without expecting anything....be it pesa or love.
Na wewe hukuwa convinced beyond mauno au ulimuona changu fulani tu?

lemonade hadaa iko wapi? hakuna ahadi zilizotolewa na kuvunjwa..................penzi aliombwa akakubali bila ya shuruti na baadaye tulipeana mengi bila kasheshe lolote sasa tumefikia tamati baada ya mjuaji kupenyeza khoja zake nami kuzikubali.....................

yeye mwanzilishi alikuwa bubu kwenye hilo sasa mie nimekosa nini khapo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rutashubanyuma afadhali unayaona na unasema wengine wanayaona na wanakaa kimya
Wanayaona kama sio ya kwao so wanayaacha bila kuyatolea suluhisho lolote

Mr Rocky.......................mie natoa elimu ya bwerere hata kam aninashambuliwa kwa kuwa mkweli......................badala ya kushukuriwa baadhi ya wadaa wananituhumu kuwa mie ni tapeli, hivi utapeli wa mjumbe ulianzia wapi?
 
Last edited by a moderator:
umenielewa, so unampa nafas nyngne au ndo taratiiibu unateleza kama samaki??? Hayo mauno huyatak tena? Kama vp nipigie pande

Mapi nafasi alikuwa nayo akitlekeza mwenyewe sasa mjuaji keshaiteka nyara hakuna mwanya kwake alichobakia ni malalamishi mengi mtaani...........................duh
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky.......................mie natoa elimu ya bwerere hata kam aninashambuliwa kwa kuwa mkweli......................badala ya kushukuriwa baadhi ya wadaa wananituhumu kuwa mie ni tapeli, hivi utapeli wa mjumbe ulianzia wapi?

Mkuu Rutashubanyuma wewe toa elimu bana
Wanaokushutumu najua na wao kuna sehem unawagusa
na kama unagusa interest za watu ni lazima wawe wakali aise
We fanya kazi yako mkuu tena ukiw ana uwezo wa kufanya hayo
 
lemonade hadaa iko wapi? hakuna ahadi zilizotolewa na kuvunjwa..................penzi aliombwa akakubali bila ya shuruti na baadaye tulipeana mengi bila kasheshe lolote sasa tumefikia tamati baada ya mjuaji kupenyeza khoja zake nami kuzikubali.....................

yeye mwanzilishi alikuwa bubu kwenye hilo sasa mie nimekosa nini khapo?
I think hadaa iko kwenye mapokeo yako ya mauno, mwenzio akahadaika kuzidisha maufundi..........kumbe..........lol.
Sasa basi nadhani nikubaliane na wewe maana japo kwa mawazo yangu ya mwanzo yalilenga kumtetea mdada kwa sababu inauma sana matarajio yako kwenye mapenzi yanapokuwa tofauti, nakubaliana na wewe sababu japo wewe unaonekana ni villain lakini inabidi kujenga tabia ya kufanya mapenzi kwa makubaliano..........dhana ya utii inajengwa kutokana na wadada kuheshimu dhamana aliyokuwa nayo mwanaume kama "kichwa" katika maamuzi mengi hivyo hudhani kuwa kwa kutoa viashiria fulani mwanaume atamsoma na watapanga mipango kwa njia ya telepathy
 
1.
kama mauno ulikatiwa, kwa nini ulijichomoa,
kama mchezo aujua,kwa nini hukumridhia,
kama alikukinga jua, kwa nini wewe ulimchomea?
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

2.
kama mauno ukikatiwa, na moyo wako ulitulia,
kwa nini hukusubiria, ile kesho muweze ifikia,
kwa nini uliparamia, vihongwe na viruka njia,
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

3.
kama mauno ukikatiwa, hadi kuja hadithia,
raha ilipokuzidia, ya kesho mbali ulitupilia,
wote mwana mlichelea, ila yeye pekee alia!
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?

4.
kama mauno ukikatiwa, kwa nini hukumzingatia?
pendo lake lithaminia, badala ya visa ulomfanyia,
utamkosa wa kukuimbia, na kuambulia wa kukugunia,
Ruta twataka kujua, kwa vipi kwake hukutulia?
 
Back
Top Bottom