Microsoft Excel Short Course

jeneralikevin

JF-Expert Member
Jun 24, 2020
237
172
Screenshot_20240505-132735.png
 
Laki 6 alafu Mafunzo siku kumi,wanafunzi wataelewa kweli?

Mnatumia mbinu gani mtu aweze kushika vyote hivyo ndani ya siku chache na akatoka Yuko vizuri na cheti akapata?
 
Mbona youtube ni chuo tosha,labda uwe mvivu.
Kuna watu wanadhani excel unaweza tu kupewa formula za kila kitu alafu ukawa umemaster.Kumbe wangejua,excel ni msitu mzito.Utaelewa upande wa mahitaji yako ya kila siku tu.Mengine hautakuja kuyajua.
Hatabwaliotengeneza wenyewe hawaijui excel yote.Kila mtu anajua kaeneo kake tu
 
Hao ni wapiga pesa kwa mbinu ya urubunifu
 
Hii kitu nlisoma kitambo sana
Hivi mitihani y mouse unapiga
Online bado ipo

Ova
 
Back
Top Bottom