Miaka Hamsini ya Uhuru "HONGERA CCM"

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Tumebakiza nukta chache kutimiza miaka hamsini ya uhuru, ni safari ndefu sana,
Inasisimua, inashangaza, inachukiza pia inahuzunisha. Kabla sijasema kwanini naipongeza
CCM nataka nionyeshe kwanza jinsi mambo yalivyo

  1. Miaka Hamsini ya Uhuru Bado tunategemea misaada kutoka nje
(Hii imesababisha mataifa ya nje kupata jeuri ya kutaka kutusainisha mikataba ya ushoga
Nina hofu kuwa tutapewa sharti ili uwe Rais wa TANZANIA lazima ukubali kuolewa na waziri
mkuu wa Uingereza au Rais wa Marekani)


2. Miaka 50 ya uhuru bado umeme ni wa mgao

3. Miaka 50 ya uhuru bado kilimo ni cha jembe la mkono

4. Miaka 5o ya uhuru hata vijiti vya kuchokonolea meno vinatoka china

5.Miaka 50 ya uhuru maji ni tatizo hata katika jiji la Dar

6. Miaka 50 ya uhuru.......................................... !

Ninachoipongeza CCM hapa ni uwezo wao mkubwa wa kuwafanya baadhi ya watanzania
kuwa mbumbu kiasi cha kuwakumbatia kwa nguvu zao zote, Nashindwa kujua ni uchawi
gani umetumiwa na CCM kiasi cha kuwafanya watu hao kuwa na mapenzi ya kufa mtu,
Tazama makazi ya washabiki na wapenzi wa CCM
asset.php



asset.php
 

Attachments

  • 11.JPG
    11.JPG
    62.9 KB · Views: 30
  • NYUMBA MBOVU-1.JPG
    NYUMBA MBOVU-1.JPG
    63 KB · Views: 29
Back
Top Bottom