Mi nilishindwa sijui nyie.

Kwa nini mnapenda kulazimishia watu marafiki? yaani uporoto 01 ameishiwa marafiki mpaka lazima na urafiki na huyo mwanamke? humu inaonekana wengine bado wadogo haya mambo yanakera na yanauma kuliko unavyoweza kuamini, maana mtu unaweza ukawa umejitoa muhanga na kudevort ur time kwa ajili mapenzi na huenda hata ndugu zako wengine mlikosana kwa ajili ya mapenzi then demu anakuzinguwa eti baadae unasema tuwe marafiki?
Naona mnaleta mzaha wa makusudi.

Mkulu Matola apa umenena. Well said!

Jamani tuonane asubuhi, naona shemeji yenu kaniivalia kanga moja ndembe ndembe alafu anilegezea macho, hapa inabidi nishut down laptop niingie kwenye jukumu lingine.
Hii JF ukiifatisha kila siku utakuwa kwenye mahusiano mapya kumbe tatizo internet, huna muda wa kumpetpet partner. Alamsiki.

Wahi kaka usije ukaishia kuwa ex na kuanza kumwomba urafiki.

Nishachangia EMT siwezi, coz kwanza siwezi ruhusiwa na partner wangu, napenda uhusiano wetu uwe kwenye mambo muhimu tu, na sio urafiki kama watu wenginne ambao kila mara tunaonana kupata moja moto, siwezi kabisa, ni kukaribisha kumkosesha raha current partner tu

Oh samahani; nilikuwa sijasoma post yako ya mwanzo.

Poa usije tu ukawa unawahi bafuni, unatudanganya hapa, all the best ila sasa hakikisha mshike mkono usimwache nyuma
Dunia ya leo hata kama mdomo wako ni mzito huwezi kumwaga sera kwa wadada, ukifikia hatuwa ya kwenda bafuni kwa ukame basi wewe hutakuwa unaongoza kwa ubahili hapa mjini.

fikra zangu pia.

hili ni gunia la misumari halibebeki mkuu.

kama umuwahi kuona neighbour from hell basi huyu alikuwa GF from ....

ndio tafauti zetu mkuu.

nipo kwenye uhusiano mwingine hakuna kuzuba mjini.

hahaha! no comment.

nina mtu sasahivi na nimeshakuwa mkubwa kuonjaonja hapana.mia.

demokrasia ya mapenzi.mpenzi 1 ananyanyasa,danadana inaruhusiwa mpirani.mia

same case happened to, and if she saw me talking with other galz, she is unhappy and moreover after few mins she used to write msg concerning that gal I talked with. Bt the good thing is that I told her directly thru the phone, that we just to need to be friends, that all, otherwise its better to quit everything.

Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?

Uporoto unapo sitisha mapenzi na mpenzi wako wa zamani sitisha swala la kumega.
Lakini urafiki uwepo pale pale huyo atakufaa hapo baadae kipindi cha ukame. Ataendelea kuwa kama reserve siku yoyote ukitaka kufanya substitute yeye anachukua nafasi kiulaini. Na wahenga wanasema nguo ya kale haitupwi katu.

yap,urafiki unaweza kuendelea kwa uangalifu sana/some limitations...na unahitaji kuwa na msimamo thabiti ktk hilo vinginevyo mtarudiana!

Similar Discussions

Back
Top Bottom