Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,462
- 4,364
Kati ya section na idara, ipi ni subsection ya nyingine?
Na cluster ni nini?
usiwe muulizaji maswali tu, jibu kwanza swali nililokuuliza hapo juu. Ninatambua kwamba utakapojua kwamba hujui ndipo utakapojua.
post yangu namba 38 na ile ya 49 nimekueleza kwamba katika Halmashauri (upande wa watendaji kuna Mkurugenzi, Wakuu wa vitengo (Sheria na ukaguzi wa ndani) then kuna Wakuu wa idara chini yao kuna Wakuu wa section. Nikiendelea hapo kuna desc officers. Hivi hapo ni mpaka mtu akuonyeshe kwamba section imo ndani ya idara?