Sasa hii ni balaa, yule mpambe wa JWTZ yu wapi jamani!!!!
Kwenye niti simwoni.
Hana pa kukaa, bembea limejaa
Sasa hii ni balaa, yule mpambe wa JWTZ yu wapi jamani!!!!
Kwenye niti simwoni.
Jamani with all due respect washauri wa first lady when it comes to dress code yake hapa wamechemsha....au walikuwa hawajui ratiba yake kwa hiyo siku? hehehe...hilo vazi la kitenge na tukio vitu viwili tofauti.......
President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
Hizo bembea zina usalama gani kwa Rais wetu? kwa mfano akitembelea Obama au Medvedev au Brown au Rais mwingine wa mataifa makubwa (yenye nguvu) watampandisha kwenye hizo bembea? kwanini wasingetumia helkopta?
Binafsi sijapendezwa na tukio hili. mkuu wa nchi alikuwa kwenye state visit na si vacation. Wenzetu wajamaica wamefanya tukio hili kibiashara zaidi, muungwana atakuja kutuambia nini??
Mbona Ngorongoro na Serengeti anaenda mara kwa mara hatujaona Ikulu iki realese picha za muungwana angalau kushawishi utalii wa ndani na nje. Pale Serengeti kuna Serengeti balloon ni kivutio kizuri pengine kuliko hata hayo mabembea, mbona hatujaona mkuu akichukua initiatives za kupiga picha pale na kuutangaza utalii wetu??
Kwa mara nyingine kodi yangu imetumika vibaya (irresponsibly) achilia mbali kuombwa ridhaa yangu!!
Inakuwaje rais anaenda kubembea wakati nchi hata umeme haina!
President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
yeye aanguke tu, labda tutapata unafuu wa kupata rais mwingine mapema na kutusave another shameful 5yearsSasa wakianguka itakuwaje? maana hakuna mlinzi, lakini haya mabembea hata huku si yapo?
Mama nae mara moja moja avae casual kama Michelle wa Obama, japo simaanishi kakaptula, bali simple, loose and free, jamani hata kutalii na kitenge!.
....jamani tofautisheni kumsakama na positive criticism!!!!aaargh u make me so angry...always on the defensive. Wengi waliochangia kuhusu mavazi ya mama wala hawajasema baya ila there are appropriate clothes for every occasion unless kama nilivyosema awali this event was a spur of the moment thing and she was not aware. Hapo we cannot say anything, ila kama alijua wangepanda bembea for her own comfortability, loose clothing would have been appropriate....loose slacks with a casaul yet elegant blouse would have done just fine!!!!...Tusimsakame 'Mama wa Kwanza' bila shaka alipovaa hakujua kwamba kuna kupandishwa kwenye bembea. Hata hivyo amekuwa akilipa heshima taifa letu na pia kuwapa heshima wanawake wote kutokana na mavazi ya heshima anayopenda kuvaa. Rais Kikwete ni wa aina yake siwezi kupiga picha Mwalimu, Mzee Mwinyi, Mkapa wanakubali kupandishwa kwenye bembea! Wala sikutegemea kwamba Walinzi wake wangeweza kumuachia afanye hivyo!
ahaa ahaa ahaa!!! sina mbavu, mwanamke wa kisasa ndo yupi??
Mungu ameumba wanawake wote ni wazuri shida hawatunzwi/hawajitunzi.
1.Unaweza ukawa mnene na bado ukavaa casually na ukapendeza tu.Ulimwengu wa mitindo ni mpana sana.
2.Urais kama vyeo vingine hupewi tu kwa sababu unapenda kuwa rais,bali UNAPEWA.Hivyo hoja ya kuchagua mke mzuri/portable kama maandalizi ya kuwa rais haina mashiko.Mlimpa urais Muungwana, kwa sababu mlijua ana-deserve kwa evaluation criteria za wakati ule.