Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

Mama nae mara moja moja avae casual kama Michelle wa Obama, japo simaanishi kakaptula, bali simple, loose and free, jamani hata kutalii na kitenge!.

Tatizo ana mwili mzito, tumbo kubwa akivaa hizo mnazo taka atakuwa kichekesho msisitizie afanye mazoezi kupunguza mwili pamoja na tumbo.
 
Tusimsakame 'Mama wa Kwanza' bila shaka alipovaa hakujua kwamba kuna kupandishwa kwenye bembea. Hata hivyo amekuwa akilipa heshima taifa letu na pia kuwapa heshima wanawake wote kutokana na mavazi ya heshima anayopenda kuvaa. Rais Kikwete ni wa aina yake siwezi kupiga picha Mwalimu, Mzee Mwinyi, Mkapa wanakubali kupandishwa kwenye bembea! Wala sikutegemea kwamba Walinzi wake wangeweza kumuachia afanye hivyo!

Programme ya Mkuu wa Nchi inajulikana mapema kwa muhusika na muandaaji wala siyo ghafla. Ni kweli lile vazi pale halikustahili, ukiangalia vizuri upepo na kile kilemba kinaweza dondoka wakati wowote.
 
Naona wamepelekwa kwenye bembea za chekechea huku jamaika anadanganywa kuwa ni kivutio cha watalii
 
kikwetebembea.jpg

Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.

mjomba mwaga source (chanzo cha hii picha na habari) ili tupate kufaidi,
mbona unaweka vitu nusunusu utadhani una kigugumizi?
 
Hawa wajamaika wameshawahi kuwapandisha marais wangapi ktk bembea hii? nipo very negative
 
Mama nae mara moja moja avae casual kama Michelle wa Obama, japo simaanishi kakaptula, bali simple, loose and free, jamani hata kutalii na kitenge!.

Pasco.
Nakubaliana na wewe lakini mwenzako anadumisha utamaduni wa mwafrika kuvaa kitenge eti wenyewe wanaita mama afrika.Watanzania hatuna vazi simpo akivaa kelele zake sijui nani atazinyamazisha.Kwani wewe hujui ni mama wa kiswahili typical?hawezi kuvaa nguo simpo.loose nad free umewahi kumuona akivaa hivyo tangu awe first lady?ni mavitenge tu hadi anaboa. Michelle Obama kwenye ile dinner yao kwakweli alipendeza sana alikuwa kama Miss vile thats what we want to our first ladies. May be for next ladies ndo maan tunataka nyie wenye vision za kuwa marais badaye mchague wanawake wa kisasa.huo ni ushauri wangu kwa wote wenye ndoto za kuwa marais baadaye,kwa ambao bado hamjaoa.
 
Haya ndio mambo anayofurahia huyu kiongozi wetu. Kesho tutaona picha nyingine kapiga na wanamuziki wa Reggae.
 
Pasco.
Nakubaliana na wewe lakini mwenzako anadumisha utamaduni wa mwafrika kuvaa kitenge eti wenyewe wanaita mama afrika.Watanzania hatuna vazi simpo akivaa kelele zake sijui nani atazinyamazisha.Kwani wewe hujui ni mama wa kiswahili typical?hawezi kuvaa nguo simpo.loose nad free umewahi kumuona akivaa hivyo tangu awe first lady?ni mavitenge tu hadi anaboa. Michelle Obama kwenye ile dinner yao kwakweli alipendeza sana alikuwa kama Miss vile thats what we want to our first ladies. May be for next ladies ndo maan tunataka nyie wenye vision za kuwa marais badaye mchague wanawake wa kisasa.huo ni ushauri wangu kwa wote wenye ndoto za kuwa marais baadaye,kwa ambao bado hamjaoa.
1.Unaweza ukawa mnene na bado ukavaa casually na ukapendeza tu.Ulimwengu wa mitindo ni mpana sana.

2.Urais kama vyeo vingine hupewi tu kwa sababu unapenda kuwa rais,bali UNAPEWA.Hivyo hoja ya kuchagua mke mzuri/portable kama maandalizi ya kuwa rais haina mashiko.Mlimpa urais Muungwana, kwa sababu mlijua ana-deserve kwa evaluation criteria za wakati ule.
 
Programme ya Mkuu wa Nchi inajulikana mapema kwa muhusika na muandaaji wala siyo ghafla. Ni kweli lile vazi pale halikustahili, ukiangalia vizuri upepo na kile kilemba kinaweza dondoka wakati wowote.

Nop! Kwenye programmme sidhani kwamba wanaandika 'kupanda bembea!"
 
Pasco.
Nakubaliana na wewe lakini mwenzako anadumisha utamaduni wa mwafrika kuvaa kitenge eti wenyewe wanaita mama afrika.Watanzania hatuna vazi simpo akivaa kelele zake sijui nani atazinyamazisha.Kwani wewe hujui ni mama wa kiswahili typical?hawezi kuvaa nguo simpo.loose nad free umewahi kumuona akivaa hivyo tangu awe first lady?ni mavitenge tu hadi anaboa. Michelle Obama kwenye ile dinner yao kwakweli alipendeza sana alikuwa kama Miss vile thats what we want to our first ladies. May be for next ladies ndo maan tunataka nyie wenye vision za kuwa marais badaye mchague wanawake wa kisasa.huo ni ushauri wangu kwa wote wenye ndoto za kuwa marais baadaye,kwa ambao bado hamjaoa.

Ohhhh, mentality za utumwa wa kifikra! Ndio nyie msiothamini u-Afrika wenu! Kwa nini hatupendi kuwa na vyetu na kuvishabikia? Yamekuwa hayo tena ya kuiga Michelle Obama na marais kuchagua wanawake wa kisasa!
 
Pasco.
Nakubaliana na wewe lakini mwenzako anadumisha utamaduni wa mwafrika kuvaa kitenge eti wenyewe wanaita mama afrika.Watanzania hatuna vazi simpo akivaa kelele zake sijui nani atazinyamazisha.Kwani wewe hujui ni mama wa kiswahili typical?hawezi kuvaa nguo simpo.loose nad free umewahi kumuona akivaa hivyo tangu awe first lady?ni mavitenge tu hadi anaboa. Michelle Obama kwenye ile dinner yao kwakweli alipendeza sana alikuwa kama Miss vile thats what we want to our first ladies. May be for next ladies ndo maan tunataka nyie wenye vision za kuwa marais badaye mchague wanawake wa kisasa.huo ni ushauri wangu kwa wote wenye ndoto za kuwa marais baadaye,kwa ambao bado hamjaoa.

ahaa ahaa ahaa!!! sina mbavu, mwanamke wa kisasa ndo yupi??

Mungu ameumba wanawake wote ni wazuri shida hawatunzwi/hawajitunzi.
 
Tusimsakame 'Mama wa Kwanza' bila shaka alipovaa hakujua kwamba kuna kupandishwa kwenye bembea. Hata hivyo amekuwa akilipa heshima taifa letu na pia kuwapa heshima wanawake wote kutokana na mavazi ya heshima anayopenda kuvaa. Rais Kikwete ni wa aina yake siwezi kupiga picha Mwalimu, Mzee Mwinyi, Mkapa wanakubali kupandishwa kwenye bembea! Wala sikutegemea kwamba Walinzi wake wangeweza kumuachia afanye hivyo!

Well said, nakuunga mkono.
 
najua mkuu akirud kwetu atashauri bembea ka hizo ziweke Mt.Kilmanjaro, utaskia tu...
Mama na yeye kwa kitenge, sijui hao washauri wake wa mambo ya mavazi wanafanya kitu gani au wapo wapo tu..!ah!
 
Back
Top Bottom