The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Kweli watanzania tumezidi kulalamika sana. Kila siku kuna mjadara wa kumlalamikia Muungwana hapa JF badala ya kutafuta ufumbuzi. So far matatizo ya Mkuu wa kaya tunayajua; 1) Uwezo na kipaji cha kuongoza hana, 2) Afya yake tusha juwa iko mushkeri, akitoka kwenye hiyo safari ya siku 10 haitakuwa ajabu mkiambiwa anauchovu kwenye sherehe za Uhuru 09/12; 3) Meli ya MV Tanzania haina nahodha hivyo inajiendea yenyewe na hakuna anayejuwa inakoelekea, ndiyo sababu jamaa kila siku yuko nje ili ikizama yeye hatakuwemo.
Anyway, inawezekena ameshuliwa na Dr. wake apate mapumziko West Indies ili kumsaidia tatizo lake halafu sisi tunalalama tu hapa!!!
Anyway, inawezekena ameshuliwa na Dr. wake apate mapumziko West Indies ili kumsaidia tatizo lake halafu sisi tunalalama tu hapa!!!