Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,881
- 941
Mkuu rufiji sijawahi kuona mtu amevaa helmet kwenye hizi bembea aka skyride, na kujibu swali lako la kwa nini pilot wa ndege za kijeshi anavaa helmet ni kwa sababu cabin/cockpit ya jet fighter haiko pressurised kama ndege za abiria kwa hiyo inatumika kusupply Oxygen kwa rubani vile vile kumbuka ndege za kijeshi uwa zinaruka juu zaidi ya ndege za abiria kwa hiyo ni lazima kila pilot awe na G-suit.
Mkuu simply kwa kuwa hujawahi kuona watu wakivaa helmet kwenye skyride aimaanishi ya kuwa sio lazima kuvaa. Pia ni muhimu kujua ya kuwa hapa atuzungumzii mtu wa kawaida, tunazungumzia rais wa nchi. Kwa hiyo , inapokuja kwenye suala la usalama the secret service has to be proactive and think for the unthinkable. Kuhusu suala la kuvaa helmet kwenye jet , nilimuuliza muungwana swali hio kwani katika hoja yake alijaribu kufananisha skyride na elevator based on their mechanism action. To make a long story short, nilimuuliza hilo swali makusudi ili kuonyesha au flawed his argument was !
Unakuja kuna watu wanafikiri watu tuna personal vendetta na JK kitu ambacho sio cha kweli ! Nakumbuka kuna kipindi Bush alivyotaka kutua kwenye aircraft carrier, USS Lincoln alitaka kutumia F-18 yenye siti mbili kitu ambacho secret service walikipinga kabisa ! Soma hii article hapa chini
Source :http://edition.cnn.com/2003/ALLPOLITICS/05/01/bush.carrier.landing/
Bush was taken in by plane because the Lincoln was too far off the California coast for a helicopter to bring him aboard. His four-seat S-3B Viking has the safest flight record in the Navy's jet fleet. The turbofan jet performs targeting and surveillance functions for naval carrier groups.
The aircraft's pilot, Navy Cmdr. John Lussier of Orlando, Florida, said the president "enjoyed the heck out of" taking the controls and doing a couple of maneuvers.
A second pilot and a Secret Service agent were in the rear seats of the plane when it landed.
"We picked two mature pilots that also are very good landers," Capt. Kevin Albright, commander of the Lincoln's Airwing 14, said Wednesday.
Bush wanted to swoop onto the deck of the Lincoln aboard an F-18 Hornet, but the Secret Service nixed the idea -- they didn't like leaving the president unguarded in a fighter jet that only has space for the president and a pilot.