Wanafanyiwa hivi kwa sababu inajulikana hawata kuja kushika hii nchi. CCM ndio imefika kijana, nyie mtatulia tu.Hawa polisi wanadhani CCM itatawala milele. This is a naive thinking. Hivi itakuwaje kama siku ya siku hawa wanaowafanyia ufedhuri huu ndiyo wakaja kushika nchi? Hawa polisi wataficha wapi nyuso zao?