Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

Status
Not open for further replies.
pepo ccm umelita magonjwa kwa watanzania, wewe pepo ccm imelata laana kwa watanzania ya umaskni, unaua watu kwa mabomu pepo ccm ondoka, nakuamuru sasa wewe pepo ccm ondoka ktk jina linalopita majina yote la Yesu Kristo.
Yesu hawezi kufungamana na mtu muovu kama wewe,yesu anafungamana na wenye roho safi siyo wenye kupanga na kutekeleza ulipuaji wa mabomu kama wewe.
 
Wana CDM hakuna aja ya kubeep, juc call n wait 2b responded, km mnataka protest fanyen kwel, ila mjipangeeeeee!!
 
Kwa akili ya Chagonja anadhani ule ushahidi wa video ya Soweto uko kwenye simu hizo ili wauharibu; wakati umeshahamishiwa kwenye servers za Weakleaks!? Chezea CDM wewe?!
weakleaks ndio nini mkuu?
 
Pale walipo toroka wangewakamata wangezichukuwa sim za ukweli.
Wao wanamacho na polisi ni vipofu!!
Polisi wangekuwa wajanja wasinge zichukuwa wangewambia wazime tu apo jamaa wanawaona wajinga wameuziwa mbuzi kwenye gunia
 
wewe pepo mchafu ccm umekamta polisi, na wananchi, toka ktk jina la Yesu. watanzania tunateseka kwa sababu ya wewe pepo mchafu ccm, hatuna maji, hatuna chakula, hatuna ulinzi, hatuna hudumu za afya. wewe pepo machafu ccm unawaingia polisi wanaua raia kwa mabomu na risasi. Toka pepo mchafu ccm ktk miili ya watanzania. toka nakuamuuru ktk jina la Yesu Kristo. Pale masabani Yesu alisema wewe pepo mchafu ccm umekwisha. na sasa nakuamuru ktk jina la Yesu Toka ktk roho na akili za watanzania wote. toka achia miili ya watanzania sasa, achia sasa.
 
Anaibuka Mwehu huko anadai kama akiana Mbowe hawaliamini jeshi la police basi wapeleke ushahidi kwa Rais.Utadhani kuna mtu alimwambia Rais wetu amebakiza sifa yoyote ya uaminifu.Hata yeye haaminiki.Typical case ya nyani umpelekee ngedere? Kujipendekeza kwingine ni embarrassment kweli kweli

Polisi wakisababisha vurugu leo hali itazidi kuwa mbaya,cha msingi ni kuwaachia viongozi wetu muda huu tu.Hakuna njia ya mkatao maana hatutakubaliana kabisa na hili. Tunasema hivi tukiwa na kumbukumbu ambayo bado iko fresh vichwani mwetu juu ya kauli aliyoitoa Pinda Bungeni leo kama alivyonukuliwa kwamba anaruhusu polisi kupiga raia kama wamevunja sheria.Reckless utterance from a senior politician.Kutoa kauli kama hizi Inahitajika mtu kuchimbia weledi ardhini,na kuweka busara mfukoni.Ukiwa sober huwezi ku-spit hizi septic tank contents!

It appears that police brutality within the Tanzanian police force perpetuated by corrupt elements driven by greed and attitudes inclined towards torture and extortion of innocent citizens has been part of the Tanzania police force for many years
Ben mimi nilisha kosa imani kwa serikali hii muda mrefu sana, hivi hakuna namna ya ku-upload matukio haya CNN kama kutumia I-report?. Tufike mahali tuwajulishe jumuia za kimataifa wajue nini kinaendelea hapa inchini. Tuache kulalamika sasa tufanye kweli pamaja na ku-organizi migomo.
 
Simu za siku hizi unaweza kuweka security code karibia mafile yote! Cha muhimu zaidi ni password kwenye ku unlock keys, wataweza kuzifungua?? Wanahangahika bure tu hawa polisisiemu!!
 
wewe pepo mchafu ccm umekamta polisi, na wananchi, toka ktk jina la Yesu. watanzania tunateseka kwa sababu ya wewe pepo mchafu ccm, hatuna maji, hatuna chakula, hatuna ulinzi, hatuna hudumu za afya. wewe pepo machafu ccm unawaingia polisi wanaua raia kwa mabomu na risasi. Toka pepo mchafu ccm ktk miili ya watanzania. toka nakuamuuru ktk jina la Yesu Kristo. Pale masabani Yesu alisema wewe pepo mchafu ccm umekwisha. na sasa nakuamuru ktk jina la Yesu Toka ktk roho na akili za watanzania wote. toka achia miili ya watanzania sasa, achia sasa.
Hii wapi tena Posta mpya au Mwenge kituoni
 
Ben mimi nilisha kosa imani kwa serikali hii muda mrefu sana, hivi hakuna namna ya ku-upload matukio haya CNN kama kutumia I-report?. Tufike mahali tuwajulishe jumuia za kimataifa wajue nini kinaendelea hapa inchini. Tuache kulalamika sasa tufanye kweli pamaja na ku-organizi migomo.
Nyie mnafikiri jumuia za kimataifa zina habari na nyie, waache kushughuklikia Syria waje kufatilia wapuuzi wachache walio shindwa kufata sheria.
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa South Africa kabla ya 1990, maana akina Mandela walipigania haki na watawala waliwaona wahuni hawafai ila mwisho wa siku dunia ikatambua na ikawapa support eti.

Exactly Mkuu!! Hata Kenyatta alifanyiwa hivyo hivyo. Ukiona haya manyanyaso yanazidi ujue ukombozi hauko mbali. Tuwaombee makamanda wateswe bila kudhurika. Ukombozi hauji kirahisi, lazima wawepo wa kujitolea
 
pepo mchafu ccm ondoka sasa. umeua sana raia kwa kuingia kwa polisi. toka sana imetosha damu ya watanzania ulimwaka inatosha toka sasa. achilia watanzania, pepo mchafu ccm, toka ktk jina la yesu Kristo. Imetosha sasa. watanzania wamekufa wengi sana. ichilia pepo mchafu ccm. toka sasa kwenye polisi wetu.
 
Simu za siku hizi unaweza kuweka security code karibia mafile yote! Cha muhimu zaidi ni password kwenye ku unlock keys, wataweza kuzifungua?? Wanahangahika bure tu hawa polisisiemu!!
Hao wote wawili elimu ziro, hayo mambo watayaweza wapi, usitake kufananisha kina Zitto na hawa wawili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom