Profesa Ndakidemi alia na Barabara ya Mabogini

Jun 20, 2023
54
51
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami.

Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Amesema barabara hiyo inaumhimu mkubwa kwa wananchi wa kata ya Mabogini hasa kwenye shughuli za uzalishaji Mali.

"Mheshimiwa mwenyekiti siasa za Moshi ni barabara na si kitu kingine kwa hiyo miwaombe sana watu wa Tarura kuharakisha huo mchakato".amesema.

Amesema kwa muda mrefu barabara ya mabogine imekuwa na changamoto kubwa kutokana na barabara hiyo kuwa katika Hali mbaya.

Mbali na hilo, Ndakidemi akashauri Tanroads kirekenisha bajeti zake Ili kuwepo na uwiano mzuri wakati wa utelekezaji wa miradi ya Barabara badala ya kuelekeza nguvu kubwa kwenye maeneo mengine na maeneo mengine kupewa bajeti ndogo.

Amesema kwenye jimbo lake Bajeti ya ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami Tanroads wamepeleka bajeti ndogo.

"Mheshimiwa mwenyekiti kiwango Cha kilomita 0.5 ni kiwango kidogo sana kama tunataka kuwasiadia wananchi tuache kupendelea upande fulani."
 
"siasa za Moshi ni Barabara"

Mambo ya aibu haya, so they do for political gains? Not kwa watu wao.
 
Ukitoka moshi mjini kupitia road ya boro chini huku hadi kwake uyo mbunge ni vumbi tupu nimewai kupiga stori na mwanae wa kike mzuri balaaaa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami.

Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Amesema barabara hiyo inaumhimu mkubwa kwa wananchi wa kata ya Mabogini hasa kwenye shughuli za uzalishaji Mali.

"Mheshimiwa mwenyekiti siasa za Moshi ni barabara na si kitu kingine kwa hiyo miwaombe sana watu wa Tarura kuharakisha huo mchakato".amesema.

Amesema kwa muda mrefu barabara ya mabogine imekuwa na changamoto kubwa kutokana na barabara hiyo kuwa katika Hali mbaya.

Mbali na hilo, Ndakidemi akashauri Tanroads kirekenisha bajeti zake Ili kuwepo na uwiano mzuri wakati wa utelekezaji wa miradi ya Barabara badala ya kuelekeza nguvu kubwa kwenye maeneo mengine na maeneo mengine kupewa bajeti ndogo.

Amesema kwenye jimbo lake Bajeti ya ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami Tanroads wamepeleka bajeti ndogo.

"Mheshimiwa mwenyekiti kiwango Cha kilomita 0.5 ni kiwango kidogo sana kama tunataka kuwasiadia wananchi tuache kupendelea upande fulani."
Hivi kwanini mabogini hiyo, njiapanda, mailisita hawataki kuziweka ndani ya manispaa? Wakati kanda ya ziwa manispaa na halmashauri za miji zimeanzia porini
 
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami.

Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Amesema barabara hiyo inaumhimu mkubwa kwa wananchi wa kata ya Mabogini hasa kwenye shughuli za uzalishaji Mali.

"Mheshimiwa mwenyekiti siasa za Moshi ni barabara na si kitu kingine kwa hiyo miwaombe sana watu wa Tarura kuharakisha huo mchakato".amesema.

Amesema kwa muda mrefu barabara ya mabogine imekuwa na changamoto kubwa kutokana na barabara hiyo kuwa katika Hali mbaya.

Mbali na hilo, Ndakidemi akashauri Tanroads kirekenisha bajeti zake Ili kuwepo na uwiano mzuri wakati wa utelekezaji wa miradi ya Barabara badala ya kuelekeza nguvu kubwa kwenye maeneo mengine na maeneo mengine kupewa bajeti ndogo.

Amesema kwenye jimbo lake Bajeti ya ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami Tanroads wamepeleka bajeti ndogo.

"Mheshimiwa mwenyekiti kiwango Cha kilomita 0.5 ni kiwango kidogo sana kama tunataka kuwasiadia wananchi tuache kupendelea upande fulani."
Profesa Ndakidemi . Jimbo limekushinda
 
Back
Top Bottom