SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Leo kuna mkutano wa kihistoria utakao fanyika katika viwanya vya shule ya msingi Leganga. Mkutano huo utakua maalumu kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wananchi wa Arumeru Mashariki na Watanzania wote kwa ushirikiano wao na kupiga hatua katika kuleta mabadiliko.