Mh JOSHUA NASARI-Mbunge mteule live katika viwanja vya S/M Leganga.

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Leo kuna mkutano wa kihistoria utakao fanyika katika viwanya vya shule ya msingi Leganga. Mkutano huo utakua maalumu kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wananchi wa Arumeru Mashariki na Watanzania wote kwa ushirikiano wao na kupiga hatua katika kuleta mabadiliko.
 
Pamoja sana, muda si mrefu tutakuwa pamoja. Kaeni mkao wa kula
 
1.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom