komedi
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 204
- 17
Nina rafiki yangu ni waziri katika serikali ya Mh JK. Wiki iliyopita nilipishana na gari lake kwenye majira ya saa tisa usiku nikashangaa. Nilipompigia simu kumuuliza kulikoni na gari ya serikali usiku wote huo akadai kuwa imebidi arudie enzi za chuoni.
Alidai kuwa anatokea prepo, kujiandaa na UE.(University Exam), nikamuuliza kama ameanza kusoma tena, akadai kuwa si kwamba anasoma bali Mh JK anatembelea wizara yake siku inayofuata.
Alidai kuwa anatokea prepo, kujiandaa na UE.(University Exam), nikamuuliza kama ameanza kusoma tena, akadai kuwa si kwamba anasoma bali Mh JK anatembelea wizara yake siku inayofuata.