William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
ni maonyo tu... sidhani kama watalifungia gazeti...
Kulifungia hawawezi kwa sababu baba yao Lowassa, alijaribu kila njia akiwa Waziri Mkuu, ikiwa ni pamoja na hata kumtisha Kubenea uso kwa uso, lakini hakuweza kulifungia kama alivyotishia kuwa ametumwa na muungwana,
Itakua hawa polisi waliotumwa na Makamba, ambaye binafsi anajua fika kuwa mfupa ulimoshinda fisi Lowassa, yeye atauweza wapi?