Ukiwauliza mmoja mmoja kwanini unaandamana, kila mmoja anajibu lake
Kuna mtoto ameulizwa kwanini unaandamana kajibu sijui, unaenda hadi wapi kajibu sijui, mbona uko barabarani kajibu basi tu kwa sababu wenzangu wamekuja na mie nimekuja tunashangilia.! Unashangilia nini kajibu mwenge.lol!
ili nchi iwe salama 2015v inabidi ccm ife kabisa kabla ya kufika huko la sivyo watatumia sana ujinga wa polisi na wanajeshi kutaka kushinda kwa nguvu kitu ambacho watz waliochoka hivi hawataweza kukikubali
Wasije wakaanza kuteka watoto wetu manake hawa jamaa hawana huruma kabisa.Nimemwambia mtoto wangu asiende shule asije akatekwa
Walimu wasitetereke, wasimame imara
watoto wa sekondari wa siku hizi ni mayai kabisa. Ingekuwa enzi za tambaza sasa hivi tungekuwa tunaongelea mambo mengine kabisa
Hayo madai ya 100% ongezeko la mshahara yakitekelezwa tuu ada shule za binafsi (english medium) nazo zitapanda kwa zaidi ya 100% ili kuweza kulipa mishahara inayoshabihiana na ya serikalini.
Hayo madai ya 100% ongezeko la mshahara yakitekelezwa tuu ada shule za binafsi (english medium) nazo zitapanda kwa zaidi ya 100% ili kuweza kulipa mishahara inayoshabihiana na ya serikalini.
Hichi kizazi kikifikia umri wetu haya mambo ya kina kikwete na Mukama hayatapata nafasi tena.
Itakuwa full blasti
Ndo ujue hapo walimu walishaanza siku nyingi kugoma, ndiyo maana jitu kubwa form one halijui kusoma!! Sijui kafaulu vipi! mimi nawewe ni wasomaji na washauri tu nini kifanyike.Ukiwauliza mmoja mmoja kwanini unaandamana, kila mmoja anajibu lake
Kuna mtoto ameulizwa kwanini unaandamana kajibu sijui, unaenda hadi wapi kajibu sijui, mbona uko barabarani kajibu basi tu kwa sababu wenzangu wamekuja na mie nimekuja tunashangilia.! Unashangilia nini kajibu mwenge.lol!
mpaka hapa nimeamini nchi hii haitawaliki tena mpaka uchaguzi ujao
Ndo ujue hapo walimu walishaanza siku nyingi kugoma, ndiyo maana jitu kubwa form one halijui kusoma!! Sijui kafaulu vipi! mimi nawewe ni wasomaji na washauri tu nini kifanyike.
Namkumbuka mzee C. Mzindakaya siku alipotamka rasmi kuwa hatogombea tena ubunge alisema:-
"Hawa wanafunzi wanaosoma shule za kata ndio watakaoiondoa CCM madarakani, kwa sababu wanasoma katika mazingira magumu"
Sasa nimeamini kwani watoto wa walalahoi ndio wanaoteseka; viongozi wanaotunisha misuli watoto wao wapo madarasani wakijiandaa kwa mitihani katika shule za Private. Na ndio maana wanatunisha misuli ya kisiasa kwani migomo hii haiwahusu, endapo mtoto wa Kawambwa au Mulugo angelikuwa anasoma hizi shule walizoandamana, bila shaka viongozi wangelikaa chini na kufikiria kwa haraka sana kumaliza tatizo hili.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!