MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

waalimu wanyonge sana, tayari wenzao wameanza kujipendekeza...oooh mimi naenda kufundisha...oooh mimi mume wangu-mbunge/waziri. Mjifunze kushikamana
 
Ifikie muda serikali iendeshe mambo yake kwa kujali maslahi ya umma na waajiriwa wake. Kumbuka shule uliyosomea elimu ya msingi. Kawaambie wakupe salary slip zao utalia. Imejaa makato na kamshahara kiduchu sana. Mbaya zaidi kwa kiwango hicho HAWAKOPESHEKI KATIKA MABENKI.

Leo hii mimi naweza kumlipa mwalimu alienifundisha mshahara kutoka katika mshahara wangu na kumkopesha akaniona mi malaika.....!!!! Take into consideration muda aliokaa kazini na anachokipata ni sawa na wako vitani kupigana na nchi yao wenyewe.

Wanadai 100% increse...sasa kama ana 200,000 ukimpatia 400,000 kuna shida gani na hela za uswiss hazina mwenyewe?
 
Ikulu ni mahali patakatifu....Mtu mchafu hapakimbilii hatakidogo.... Ni mzigo mzito...Mimi nimekaa pale miaka 23.....ni mateso....JK Nyerere (RIP)
 
watoto wa sekondari wa siku hizi ni mayai kabisa. Ingekuwa enzi za tambaza sasa hivi tungekuwa tunaongelea mambo mengine kabisa
 
Ukiwauliza mmoja mmoja kwanini unaandamana, kila mmoja anajibu lake
Kuna mtoto ameulizwa kwanini unaandamana kajibu sijui, unaenda hadi wapi kajibu sijui, mbona uko barabarani kajibu basi tu kwa sababu wenzangu wamekuja na mie nimekuja tunashangilia.! Unashangilia nini kajibu mwenge.lol!

Yuko darasa la pili, u can imagine dat age u had.......
 
Hayo madai ya 100% ongezeko la mshahara yakitekelezwa tuu ada shule za binafsi (english medium) nazo zitapanda kwa zaidi ya 100% ili kuweza kulipa mishahara inayoshabihiana na ya serikalini.
 
ili nchi iwe salama 2015v inabidi ccm ife kabisa kabla ya kufika huko la sivyo watatumia sana ujinga wa polisi na wanajeshi kutaka kushinda kwa nguvu kitu ambacho watz waliochoka hivi hawataweza kukikubali

kama muungwana,Hivi kwanini asiachie ngazi wenzake nao wajaribu angalau heshima tu atabakiwa nayo.
 
watoto wa sekondari wa siku hizi ni mayai kabisa. Ingekuwa enzi za tambaza sasa hivi tungekuwa tunaongelea mambo mengine kabisa

Usinikumbushe bana nilikua Tabora Boys ila kuana watu wanaitwa WARAMBO ni ze dudu kama JKT vile. Ila all in all serikali iliangalie swala hili kwa umakini. Hwa wanaoandamana ni askari police na wanajeshi wa kesho. Bad memories will hunt them, they will fight back so fierce.
 
Hayo madai ya 100% ongezeko la mshahara yakitekelezwa tuu ada shule za binafsi (english medium) nazo zitapanda kwa zaidi ya 100% ili kuweza kulipa mishahara inayoshabihiana na ya serikalini.

Mwalimu tunaemzungumzia hapa ni yule anaelipwac laki2 na 30 kwa mwezi. Ukimlipa 100% increse hata laki5 hafiki........
 
Hayo madai ya 100% ongezeko la mshahara yakitekelezwa tuu ada shule za binafsi (english medium) nazo zitapanda kwa zaidi ya 100% ili kuweza kulipa mishahara inayoshabihiana na ya serikalini.

usitumie masabuli fanya utafit utagundua shule za binafs wanalipa vizur zen unataka walimu tukandamizwe kisa mwanao yupo private heb tumia japo akil kidogo
 
Hichi kizazi kikifikia umri wetu haya mambo ya kina kikwete na Mukama hayatapata nafasi tena.
Itakuwa full blasti

Namkumbuka mzee C. Mzindakaya siku alipotamka rasmi kuwa hatogombea tena ubunge alisema:-

"Hawa wanafunzi wanaosoma shule za kata ndio watakaoiondoa CCM madarakani, kwa sababu wanasoma katika mazingira magumu"

Sasa nimeamini kwani watoto wa walalahoi ndio wanaoteseka; viongozi wanaotunisha misuli watoto wao wapo madarasani wakijiandaa kwa mitihani katika shule za Private. Na ndio maana wanatunisha misuli ya kisiasa kwani migomo hii haiwahusu, endapo mtoto wa Kawambwa au Mulugo angelikuwa anasoma hizi shule walizoandamana, bila shaka viongozi wangelikaa chini na kufikiria kwa haraka sana kumaliza tatizo hili.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ukiwauliza mmoja mmoja kwanini unaandamana, kila mmoja anajibu lake
Kuna mtoto ameulizwa kwanini unaandamana kajibu sijui, unaenda hadi wapi kajibu sijui, mbona uko barabarani kajibu basi tu kwa sababu wenzangu wamekuja na mie nimekuja tunashangilia.! Unashangilia nini kajibu mwenge.lol!
Ndo ujue hapo walimu walishaanza siku nyingi kugoma, ndiyo maana jitu kubwa form one halijui kusoma!! Sijui kafaulu vipi! mimi nawewe ni wasomaji na washauri tu nini kifanyike.
 
mpaka hapa nimeamini nchi hii haitawaliki tena mpaka uchaguzi ujao

Kwa wale wataalam wa History wanaweza kujua dalili za ngome kuanguka. Hii ya CCM inaanguka mikononi mwao. THE FALL OF CCM EMPIRE AND THE RISE OF TANZANIA NIIPENDAYO.......
 
hili la unyonge wa walimu hakuna asiyejua hata mimi mzazi nimewaambia wanangu wwasaidie walimu wao kupata haki zao
 
Mpaka Hapo Viongozi wa serikali watakapokatazwa kupeleka watoto wao shule binafsi, hali hii itaendelea tu. Hapo watoto waliokosa kufundishwa hakuna mtoto wa Rais, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa mikoa na Wilaya na hata makatibu tarafa. Watoto wao wanaendelea na masomo shule binafsi. Nani atawatetea hawa watoto wa shule za serikali?
 
Namkumbuka mzee C. Mzindakaya siku alipotamka rasmi kuwa hatogombea tena ubunge alisema:-

"Hawa wanafunzi wanaosoma shule za kata ndio watakaoiondoa CCM madarakani, kwa sababu wanasoma katika mazingira magumu"

Sasa nimeamini kwani watoto wa walalahoi ndio wanaoteseka; viongozi wanaotunisha misuli watoto wao wapo madarasani wakijiandaa kwa mitihani katika shule za Private. Na ndio maana wanatunisha misuli ya kisiasa kwani migomo hii haiwahusu, endapo mtoto wa Kawambwa au Mulugo angelikuwa anasoma hizi shule walizoandamana, bila shaka viongozi wangelikaa chini na kufikiria kwa haraka sana kumaliza tatizo hili.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Siku wakiugundua ukweli kua hata angekesha na kuiba mtihani bado angepata ZERO hapo ndo atakuja juu kwa kupotezewa muda na serikali hii. Hii ilikua sera makini kama wangeenda kwa awamu zenye mipangilio na sio kukurupuka kama walivyofanya.
 
Back
Top Bottom