Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

Udhaif wa mkuu wa inchi unajidhihirisha na haon tatizo lolote.
1. Madaktari wanaenda kugoma amekaa kimya.
2. Uamsho wanaingiza sum ya ubaguzi wa din amekaa kimya.
3. Wengine wanataka kuiangamiza necta, amekaa kimya
4. Wengine wanachochea watu kugomea sensa amekaa kimya
Wengine......
Tanzania tunatizo kubwa kwa rais wetu HANA VIPAUMBELE, TAHADHARI WALA DHARULA ANANGOJA KUWAHI MAZISHI NA KUTOA UBAN aibu sana.
 
Chonde chonde ndugu zetu walala hoi jamani.........serikali mjitahidi kuwa imara ( muache udhaifu) walau katika ili.
 
Kumbe na wewe muoga, hiyo combat sio ya ukweli.

Mkuu Communist siyo uoga wala nini nawaonea huruma wananchi. Combat ni ya uhakika kabisa mkuu najua kazi zetu tuacheni tu tulinde mipaka ya nchi msitake tuingilie mambo ya ndani ya nchi.
 
Last edited by a moderator:
Bora wagome si wao tu bali na taasisi zote.Shule za bweni hatuna uhakika wa kula mzabuni anaidai serikali mil200, unategemea nini hapo.
 
Sasa tumwamini nani jamani, serikali inasema wametekeleza baadhi na mengine wapewe muda kwani yanazungumzika madaktari wanasema madai yametupwa,lipi ni lipi sasa.
 
Tusubirie na walimu nao waanzishe mgomo wao!!! Mbona itakuwa balaa, bungeni balaa moto unawaka, madaktari wamegoma na walimu nao wagome, mmh!! Haya ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom