Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

Aaah kama sababu kuu ni bajaji na hakuna mengineyo ya zaidi , basi ni ubinafsi mkubwa maana daladala bado hazitoshi mwanza
IMG20240311081831.jpg
 
ni wajinga pekee ndio watagoma wakitaka kuendeleza mfumo ule ule wa zamani jiji limetanuka mambo ni mengi huwezi muweka mtu stand kisa daladala haijaja bajaji wamekujankubadili gemu now mko watatu mnaondoka kwenye daladala watu watatu hamuwezi ondoka
 
Viongozi wa daladala wanasema hawajagoma bali ni watu wake kushindwa tafsiri barua yao wenyewe, sasa wewe unasemaje ni mgomo Mkuu?

Sema tu hamna daladala, inatosha sana.
 
Viongozi wa daladala wanasema hawajagoma bali ni watu wake kushindwa tafsiri barua yao wenyewe, sasa wewe unasemaje ni mgomo Mkuu?

Sema tu hamna daladala, inatosha sana.
Sasa kutokufanya kazi daldala zote si ndo mgomo huo?.. Mbon a hao viongozi wasitoe tamko kua daladala zirudi barababrani kufanya kazi?
 
Halafu daladala nyingi zina uhuni wa ajabu ajabu. Mfano nauli kila mtu ana bei yake, huyu atakuambia 900 yule atakuambia 800.

Jambo la pili kukatisha route. Mfano gari la airport - Nyashishi mida ya jioni wanasema wanaishia mkuyuni. Wakifika mkuyuni wanashusha wanapakiza tena mpaka buhongwa. Wakifika buhongwa wanapakiza mpaka nyashishi.

Mamlaka zipo zinawaangalia. Waache uhuni
 
Back
Top Bottom