MESAYA
Member
- Jan 4, 2012
- 55
- 52
Hatimaye uongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dar es salaam wameuongoza mgomo usio na kikomo mpaka wale wenzao waliofukuzwa chuo warejeshwe mapema na kuruhusiwa kuendelea na masomo kwani taratibu zilizotumika kuwafukuza hazikufuatwa kama ilivyoainishwa kwenye sheria ndogo ndogo za wanafunzi yaani students by laws.