Mgomo udsm

MESAYA

Member
Jan 4, 2012
55
52
Hatimaye uongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dar es salaam wameuongoza mgomo usio na kikomo mpaka wale wenzao waliofukuzwa chuo warejeshwe mapema na kuruhusiwa kuendelea na masomo kwani taratibu zilizotumika kuwafukuza hazikufuatwa kama ilivyoainishwa kwenye sheria ndogo ndogo za wanafunzi yaani students by laws.
 
Safi sana serikali ya wanafunzi kwa kuubariki mgomo kazeni buti kama alivyofanya Mwita Mwikabwe kipindi chake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom