Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.
 
Eti na wewe unajiita mwanachadema !!!. Gamba mkubwa wewe !

Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.
 
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani?  watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo hapa ni kazi tu.

Mwingine wa Kinondoni aliyetumwa kuandamana huyooo, umechelewa tushaondoka sisi......
 
Tumekusikia, tunatafakari. Lakini vuguvugu la mabadiliko ndo limeshashika kasi
 
Mmmh nilikua naipenda sana Chadema lakini kwa hali hii bora nimchague mzee wa kazi Maana siwaelewi chadema wanampango gani na Taifa hili?
 
Ametuburuza vibaya yule msafiri aliyejifunza urubani kwa miaka kumi bila mafanikio!
 
Treni wallop and a Ukawa halina break wala kituo shitukeni mapema kama Dr slaa
 
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.
 
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani?  watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo hapa ni kazi tu.

safi sana bodaboda maana hata uimala wa pikipiki zetu ni kwa kazi nzuri ya magufuli kujenga barabara ili mkapate ajira na pikipiki zenu zidumu muda mrefu,
mungu awabariki

kweli bodaboda hapa tutafika pamoja watu wa vyombo vya usafiri kama sio magufuli tungepata wapi riziki zetu?
 
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.

Unaburuzwa na unaburuzika!! kwani lazima kuwa mwanachama? huwezi kujiengua kimyakimya au mpaka ukauke koo?
 
Back
Top Bottom