Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

Kwa dar hii endapo atapanda bus au atakwenda kituoni tu,umati mkubwa wa watu utakuwa nae kitu ambacho ni sawa na kukiita maandamano.huu sio wakati sahihi maana akifika kutembelea kwenye kituo cha basi au sokoni shughuli zinaweza za kibiashara kusimama kwa muda na kuleta usumbufu
 
Mzee aliwakokota nyumbu akaenda kuwazamisha baharini
Fisi siyo mnyama wa kuzoeana naye. Ona alivyomfanya huyu nyumbu.

(Samahani kwa mtakaokereka na picha hii ila ni mambo ya kawaida tu huko Serengeti. The food chain...)
2.3417787866467456E18.jpg
 
Back
Top Bottom