Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

Haina jinsi cdm ndo hiyo ikulu inaenda kama unaburuzwa kata kamba uende huko nachojua wezi mia ni rahis kumbadilisha mwema mmoja kuwa mwizi kuliko mwizi mmoja kubadilisha wezi mia
 
Nakumbuka moja ya episode kali wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana ni ile iliyomfikisha LOWASSA Gongolamboto na kununua kipande cha mhindi wa kuchoma cha sh. 200 kwa Noti ya sh.10, 000 na kisha kufuata barabara za Chanika-Mvuti--Kitonga-Msongola-Chamazi na kumalizia Mbagala. Ilikuwa ni SINEMA ya Rais wa watu.*

Ndugu zangu wa Pande hizo Wajaluo, Wakurya, Wanyakyusa, Wazaramo, Wamwera, Wamakonde na makabaila mengineyo, MAMVI alishatia timu huko tena?
 
Nakumbuka moja ya episode kali wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana ni ile iliyomfikisha LOWASSA Gongolamboto na kununua kipande cha mhindi wa kuchoma cha sh. 200 kwa Noti ya sh.10, 000 na kisha kufuata barabara za Chanika-Mvuti--Kitonga-Msongola-Chamanzi na kumalizia Mbagala. Ilikuwa ni SINEMA ya Rais wa watu.*

Ndugu zangu wa Pande hizo Wajaluo, Wakurya, Wanyakyusa, Waramo, Wamwera, Wamakonde na makabaila mengineyo, MAMVI alishatia timu huko tena?

Kule mbali Uliza kama alishawahi kurudi ofisi ya CHADEMA makao makuu pale kinondoni?
 
Nakumbuka moja ya episode kali wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana ni ile iliyomfikisha LOWASSA Gongolamboto na kununua kipande cha mhindi wa kuchoma cha sh. 200 kwa Noti ya sh.10, 000 na kisha kufuata barabara za Chanika-Mvuti--Kitonga-Msongola-Chamanzi na kumalizia Mbagala. Ilikuwa ni SINEMA ya Rais wa watu.*

Ndugu zangu wa Pande hizo Wajaluo, Wakurya, Wanyakyusa, Waramo, Wamwera, Wamakonde na makabaila mengineyo, MAMVI alishatia timu huko tena?
Sense kufanya nini??? Wakati mlimnyima kura( kula)..... Nothing goes for free
 
Vipi Magu alishapiga tena push ups jukwaani!
Yale yalikuwa ya kupasha viungo vikae fit tayari kwa kutumia silaha sasa hivi anafanya mazoezi ya kutumia silaha cheki hapo.

Hapo ni bunduki

CeEq4N8WAAA9Acj.jpg

Hapo ni pistol

images
 
Thubutu! Kwanza hakumbuki kuwa aliwahi kupita maeneo hayo. Tangu apate aibu ya kutaka kujinyea pale Mbagala Zakhem mpaka akakimbilia Zahanati ya Mbagala kushusha mzigo hana hamu tena
 
Mbona hujawauliza kasuku wenzako wa kijani kama walishomuona Magu akipiga pushup...kurukaruka jukwaani au kutoka kweli roof ya gari kwenye mikutano....waulize kwanza hao kasuku wenzako wa kijani wakishakujibu ndo urudi tena...
 
Mbona hujawauliza kasuku wenzako wa kijani kama walishomuona Magu akipiga pushup...kurukaruka jukwaani au kutoka kwenye roof ya gari kwenye mikutano....waulize kwanza hao kasuku wenzako wa kijani wakishakujibu ndo urudi tena...
 
Mbona hujawauliza kasuku wenzako wa kijani kama walishomuona Magu akipiga pushup...kurukaruka jukwaani au kutoka kweli roof ya gari kwenye mikutano....waulize kwanza hao kasuku wenzako wa kijani wakishakujibu ndo urudi tena...
Sumaye aliwadanganya kuwa Magufuli anaenda kila Desemba Ujerumani kucheki afya yake. Mbona mwaka jana hajaenda?
 
Mbona hujawauliza kasuku wenzako wa kijani kama walishomuona Magu akipiga pushup...kurukaruka jukwaani au kutoka kweli roof ya gari kwenye mikutano....waulize kwanza hao kasuku wenzako wa kijani wakishakujibu ndo urudi tena...
Angalia comment ya BingelaKatiba2014tz, ameandika vizuri sana maana ya push up za Magufuli. Hata YEHODAYA ameandika vizuri, sina sababu ya kuelezea zaidi.
 
Back
Top Bottom