nyandaojiloleli
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 205
- 18
hayo ndo mambo MAGAMBA waoongo sana wakafie mbelesafi mkuu
labda aje na lingine,unajuwa hivi vitu vya propaganda visiumize kichwa sana,huwa ni rahisi sana kumshika mtu uongo kwani zama hizi mawasiliano ni mengi,so inakuwa ni rahisi sana kuwasiliana na wahusika na kuelewa ukweli halisi