Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

Nimezungumza na mwandishi wa hii habari muda huu Bwana John Mhala kanihakikishia bila shaka yoyote madiwani wote wa CHADEMA Arusha mjini wamemtaka Lema afute tamko lake la kichochezi dhidi yao ndani ya siku saba ama wamburuze mahakamani.Nimesema na ninarudia tena na tena nimezungumza na madiwani wa CHADEMA kwa nayakati tofauti wote wanazungumza lugha mmoja "Maslahi ya wapiga kura wao"
Toe uzadiki wenu hapa labda hawo wasaliti lakini si wale makamanda wa ukweli, umeanza kuijua lini cdm wewe? Au hawo habari leo gazeti la ccm ndiyo limekuzuzua na habari hiyo? Yaani Lema hawezi kusimamia pumba kama hizo unazotaka ziwe
 
Hatushangai yanayofanywa na huyu Lema - Msanii wa kisiasa.
Anatakiwa arudi shule. Elimu yake ya Form 2 haitamsaidia katika usanii huu.
Matokeao yake ndiyo haya.

Elimu yako wewe imekusaidia nini.hebu niondoke zangu nikawajibike kwa taifa.kikao cha jioni kinakaribia kuanza,tuonane nikitoka mjengoni
 
Ngongo...
Umeeleza kuwa madiwani wa Arusha wana hasira sana na Lema kisa kawatosa!
Una uhakika na hilo?
Je ni madiwani wote?...Mimi nina taarifa za tofauti kidogo!...Najua si madiwani wote, ila ni wale wenye uchu na hela walizohongwa!
Unaweza kufuatilia zaidi?

Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu bandiko lako lina maswali matatu ya msingi.

[1] Je madiwani wa CHADEMA wana hasira na Lema kisa kawatosa,Je una uhakika na hilo ?.

Mkuu napenda kukufahamisha asilimia kubwa ya madiwani wa CHADEMA Arusha mjini wana hasira na Lema kwasababu kawasaliti/kawafitini/kawachonganisha kwa wapiga kura wao kwamba wamepokea fedha ili wakubali muafaka.Madiwani wamemtaka Lema atoe ushahidi/aende TAKUKURU vinginevyo afute kali yake.Mkuu nchi yetu inaendeshwa na sheria na taratibu huwezi kumtuhumu mtu pasipo ushahidi.

[2] Je ni madiwani wote ?.

Madiwani wengi wa CHADEMA si wote.Wengi maana yake inaweza kuwa kati ya madiwani 15 madiwani 13 hawana imani na G Lema.

[3]Umesema una taarifa tofauti kidogo,Unajua si madiwani wote ila ni wale wenye uchu wa fedha walizohongwa.

Mkuu ukisoma swali lako bila mawenge utagundua kitu kimoja kwamba hata wewe unajua wapo madiwani wanaompinga Lema isipokuwa umekiri si wote.Mpaka hapo tuko pamoja Kamanda sehemu ninapotofautiana na wewe ni kuwabandika dhambi ya kupokea hongo Madiwani wenye msimamo tofauti na Lema.Mkuu PJ makao makuu ya CHADEMA walikuwa wanajua kinachoendelea,CHADEMA Mkoa na wilaya walishiriki muafaka ulipofikiwa taarifa zikapelekwa CHADEMA taifa kwa uamuzi wa mwisho badala ya viongozi wakuu kutoa uamuzi wakaamua kukalia faili siku,wiki na miezi ikasonga mbele Madiwani wazalendo wakasonga mbele kwa faida na maslahi ya wananchi wa mkoa wa Arusha.Mheshimiwa G Lema na kikundi chake cha wahuni akaandaa taarifa ya kuwakaanga madiwani waliolinda kura zake kwa gharama kubwa.

[4] Umeomba nifuatilie zaidi kwakuwa unajua ninapoaanzisha thread sikimbii kama Nape Jr.Nina kuahidi nitaandeleea kuchimba hii maneno bila kujali kejeli za wanaCHAEMA wasiopenda kusikia chama chao kikikosolewa.

CHADEMA lazima ikubali kukosolewa kila kinafanya vibaya.Ukikubali kukosolewa utajisahihisha usipokubali utakimbilia kutoa utetezi wa kijinga usiokuwa na mashiko kwa watu wenye akili nzuri
 
Nasikitika sana kuona hata ule uwezo mdogo wa kufikilia hatma ya hilo uko hivyo ikitokea kua watu walitaka kumuadhibu dr slaa kwa ushauri mbaya,ok madiwani walikosea na tume imeona haya lema alihusika hadi kutoa tamko mbowe nae alikubali mount meru mmewafukuza madiwani je wajua watu wa arusha nao wanaweza kufikili japo kidogo yako wapi maendeleao na haya madiwani wakashinda wakaendelea na msimamo huo nani atabeba lawama lets us think outside tha box
 
Toe uzadiki wenu hapa labda hawo wasaliti lakini si wale makamanda wa ukweli, umeanza kuijua lini cdm wewe? Au hawo habari leo gazeti la ccm ndiyo limekuzuzua na habari hiyo? Yaani Lema hawezi kusimamia pumba kama hizo unazotaka ziwe

Mwaka 1995 kipindi hicho NCCR Mageuzi ya Mzee wa Kiraracha ilikuwa juu Mimi na wenzangu wachache wenye akili nzuri tulifungua tawil la CHADEMA Kaloleni View.Tulimsapoti Mzee mbiliewi Mtei wewe kipindi hicho ulikuwa unachezea makamasi.Bahati mbaya mimi si mshabiki wa vyama mara zote naangalia uwezo wa mtu binafsi si chama.
 
Ila ni mnafiki mkubwa hasa kwa mambo yanayo mhusu Lema..
 
Ninauchukia sana UNAFIKI wako!
 
Ngongo wewe na Malaria Sugu mnaundugu? Naomba unijibu tafadhali!
 
Crashwise heshima ni jambo muhimu ikiwa huwezi jenga hoja kaa kimya.Lema akivurunda sitakuwa na sababu za kuficha uvundo wake kama wewe nitasema bila kificho.Kikwete au Pinda wakikosea nitasema pengine hii ndio tofauti baina yangu na wewe.Wewe Magamba wakikosea unachangia hoja kwa uwezo wako wote CHEDEMA wakipotoka unaazima akili za kuku !!!!!!.
 
Mkuu ukisoma swali lako bila mawenge utagundua kitu kimoja kwamba hata wewe unajua wapo madiwani wanaompinga Lema isipokuwa umekiri si wote.Mpaka hapo tuko pamoja Kamanda sehemu ninapotofautiana na wewe ni kuwabandika dhambi ya kupokea hongo Madiwani wenye msimamo tofauti na Lema.Mkuu PJ makao makuu ya CHADEMA walikuwa wanajua kinachoendelea,CHADEMA Mkoa na wilaya walishiriki muafaka ulipofikiwa taarifa zikapelekwa CHADEMA taifa kwa uamuzi wa mwisho badala ya viongozi wakuu kutoa uamuzi wakaamua kukalia faili siku,wiki na miezi ikasonga mbele Madiwani wazalendo wakasonga mbele kwa faida na maslahi ya wananchi wa mkoa wa Arusha.Mheshimiwa G Lema na kikundi chake cha wahuni akaandaa taarifa ya kuwakaanga madiwani waliolinda kura zake kwa gharama kubwa.
Baada ya kufikia mwafaka wa mapendekezo yalipelekwa kwa katibu mkuu akayakataa akawarudisha ili waendee na majadiliano ndipo Madiwani wawili yaani Malla, Bayo walipoanza majadiliano wengine walikuja kujulishwa siku ya mwafaka wengine walikuja kushirikishwa dakika za mwisho na kutakiwa kuya kuyapitisha, swali kulikuwa na ulazima gani kuharakisha kiasi hicho....
 
Mwaka 1995 kipindi hicho NCCR Mageuzi ya Mzee wa Kiraracha ilikuwa juu Mimi na wenzangu wachache wenye akili nzuri tulifungua tawil la CHADEMA Kaloleni View.Tulimsapoti Mzee mbiliewi Mtei wewe kipindi hicho ulikuwa unachezea makamasi.Bahati mbaya mimi si mshabiki wa vyama mara zote naangalia uwezo wa mtu binafsi si chama.
Nishakuambia neno cdm linakuwasha sana cdm haina mapunga kama wewe, wendawazimu tuu kila kukicha mnaiwaza cdm huonma hata aibu? Unaweza jifananisha na lema? Alichaguliwa na watu wanaomuamini anaweza kuwatumikia, sasa wewe kikaragosi unaongea nini? Wacha pumba wewe mpe mtu heshima yake Lema is the best kwa Arusha bro nenda kacheki akili yako ndiyo uje hapa kuongea mambo ya msingi, propaganda za magamba huko huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa
 
Utaupenda tuuu ikiwa utatoka na kufikiri nje ya box la chama chako.Leo ukiambiwa elezea unafiki wa Ngongo uko wapi nakwambia utapata shida kama konokono msimu wa kiangazi.

Unawashwa wewe! Kila siku spinning...tumekuchoka...Grow up and be a man!
 
Baada ya kufikia mwafaka wa mapendekezo yalipelekwa kwa katibu mkuu akayakataa akawarudisha ili waendee na majadiliano ndipo Madiwani wawili yaani Malla, Bayo walipoanza majadiliano wengine walikuja kujulishwa siku ya mwafaka wengine walikuja kushirikishwa dakika za mwisho na kutakiwa kuya kuyapitisha, swali kulikuwa na ulazima gani kuharakisha kiasi hicho....

Sasa tunaweza kunogesha mjadala umeanza vyema sio kama wasukuma mikokoteni wa Mbauda na wabeba magunia wa Kilombero.
Mkuu Crashwise unaweza kutueleza sababu za Dr Slaa kurejesha mapendekezo ya Madiwani ? .Umewataja madiwani wawili Mallah na Bayo vipi wale madiwani waliotishiwa kufukuzwa baada ya kuchoshwa na migogoro ?.Mbona umewaacha madiwani wa Engutoto,Kaloleni na Themi ?.
 
Crashwise kukusaidia miongoni mwa mapendekezo yalikuwa nje ya uwezo wa madiwani.

[1] Mkurugenzi wa jiji afukuzwe kazi.Madiwani wa CHADEMA hawana mamlaka ya kumfukuza kazi Mkurugenzi wa jiji hasa ukizingatia idadi ya yao.

[2] OCD afukuzwe kazi.Hili nalo liko nje ya mamlaka ya madiwani.IGP atakuwa anafanya nini ?.

[3] Uchaguzi wa meya urudiwe.Kwanini CHADEMA isiende mahakamani kama wanaona wana haki.Mgogoro ulikuwa Mama Mary Chatanda mbunge viti maalumu Tanga.Katiba yetu inaruhusu wabunge wa viti maalumu kufanya hivyo,hata CHADEMA wamefanya hivyo jimbo la Hai.

Ukitazama nje ya box la ushabiki maagizo yote toka kwa katibu mkuu CHADEMA kwenda kwa Madiwani hayatekelezeki katika ngazi ya wilaya.CHADEMA taifa walitakiwa kuhandle issue nzima kama walitaka muaafaka wa kweli.Madiwani walipewa mfupa mkubwa bila kujali uwezo wa meno yao.
 
Nakubaliana na wewe kwa maelezo yako lakini nina shaka na hapo kwenye nyekundu.

Kama walipewa mfupa mkubwa bila kujali uwezo wao, je walipata wapi uwezo wa kuingia mkataba wa kugawana madaraka? kama ulikuwa ni mfupa mkubwa kwanini hawakumueleza katibu mkuu kwamba huu mfupa ni mkubwa??

Tunatakiwa tutenganishe kati ya maslahi binafsi na maslahi ya umma. Tukisha chora mstari hapo ndo tutajadiliana vizuri zaidi.
 
Sasa tunaweza kunogesha mjadala umeanza vyema sio kama wasukuma mikokoteni wa Mbauda na wabeba magunia wa Kilombero.
Mkuu Crashwise unaweza kutueleza sababu za Dr Slaa kurejesha mapendekezo ya Madiwani ? .Umewataja madiwani wawili Mallah na Bayo vipi wale madiwani waliotishiwa kufukuzwa baada ya kuchoshwa na migogoro ?.Mbona umewaacha madiwani wa Engutoto,Kaloleni na Themi ?.
Msukuma mkokoteni nae ni mtanzania na wengi huwa wanapointi tena kuliko hata wewe labda wengi utawazindi wewe unajua kutumia PC na wengi wao hawajui na wengi wao hawana uhakika na maisha yao pengine wewe umejitosheleza kwa kuwa ni mmoja wa mnao wanyonya....Nitaendelea kukuita mnafiki na Muongo ukiachia mbali ya wakati wa kampani, siku ya uchanguzi wa meya fake baada ya lema kukamatwa ulituambia hapa JF kuwa lema alitoa ndiyo maana akakamatwa kitu ambacho siyo kweli....siwezi kuwataja madiwani wa kaloleni kwenye kitu ambacho sina uhakika nacho...kimsiingi wewe unataka kulazimisha kuwa lema anahusika kwenye makubaliano yaliyo fikiwa na na madiwani nilio wataja ili uweze kulink na hoja yako ya mwaka jana....swala hili nimekuwa nikilifatilia sikama unavyotaka kuaminisha wana-JF...Ni kweli kuwa Lema, CDM wilaya, Mkoa na taifa ikuwa kulikuwa na majadiliano....tatizo liko kwenye maamzi ya mwisho
 
Ila ni mnafiki mkubwa hasa kwa mambo yanayo mhusu Lema..

Ninauchukia sana UNAFIKI wako!

Ngongo wewe na Malaria Sugu mnaundugu? Naomba unijibu tafadhali!

Nishakuambia neno cdm linakuwasha sana cdm haina mapunga kama wewe, wendawazimu tuu kila kukicha mnaiwaza cdm huonma hata aibu? Unaweza jifananisha na lema? Alichaguliwa na watu wanaomuamini anaweza kuwatumikia, sasa wewe kikaragosi unaongea nini? Wacha pumba wewe mpe mtu heshima yake Lema is the best kwa Arusha bro nenda kacheki akili yako ndiyo uje hapa kuongea mambo ya msingi, propaganda za magamba huko huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa

They are cousin brothers!

CHADEMA imejaza mijitu mijinga haiwezi kutetea hoja wanapenda kusifiwa wakiguswa wanakimbilia kamusi ya matusi.
 
Msukuma mkokoteni nae ni mtanzania na wengi huwa wanapointi tena kuliko hata wewe labda wengi utawazindi wewe unajua kutumia PC na wengi wao hawajui na wengi wao hawana uhakika na maisha yao pengine wewe umejitosheleza kwa kuwa ni mmoja wa mnao wanyonya....Nitaendelea kukuita mnafiki na Muongo ukiachia mbali ya wakati wa kampani, siku ya uchanguzi wa meya fake baada ya lema kukamatwa ulituambia hapa JF kuwa lema alitoa ndiyo maana akakamatwa kitu ambacho siyo kweli....siwezi kuwataja madiwani wa kaloleni kwenye kitu ambacho sina uhakika nacho...kimsiingi wewe unataka kulazimisha kuwa lema anahusika kwenye makubaliano yaliyo fikiwa na na madiwani nilio wataja ili uweze kulink na hoja yako ya mwaka jana....swala hili nimekuwa nikilifatilia sikama unavyotaka kuaminisha wana-JF...Ni kweli kuwa Lema, CDM wilaya, Mkoa na taifa ikuwa kulikuwa na majadiliano....tatizo liko kwenye maamzi ya mwisho

Jinga lingine.
 
Back
Top Bottom