Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

ukweli kutoka vyanzo hakika ndani ya cdm , mallah alichukua 15 m akawaingiza wenzake kwenye muafaka akiwa kama mkiti wa madiwani akawaambia
Anabaraka toka makao makuu , madiwani wamekiri na wameomba msamaha Jambo wanalolalamikia ni lema kapita vijiwe vyote a town kawaeleza masela madiwani wamevuta pesa wakawasaliti sasa madiwani wa cdm wanapita vichwa chini
 
Gazeti la UHURU lipo kwa ajiri ya kuandika habari za uongo nina miaka 10 sijawahi kulisoma gazeti hili la udaku la CCM.
 
Tume imeteuliwa na Katibu Mkuu wa chama bila kikao kukaa, ambaye pia anashutumiwa hapa sijui Marando analeta mapendekezo gani?itakuwa tu Mallah kutimliwa ambaye nguvu isisahaulike kuwa nguvu zake A town si kidogo ndio maana akawa chair wa madiwani wenzie.

Sio haki itendeke bali ionekane kutendeka,kama wakubwa wameshiriki kuvuruga watu huko nao it is high time kuadhibiwa no matter the situation will be,hii si taasisi ama kampuni ya mtu ila mali ya watu/wanachama na wapiga kura wasio na vyama.

Vile migogoro ya namna hii ni vizuri kuachiwa wahusika wenyewe watatue na si kuingiliwa,ni sisi tulitoka dar,moshi,mbeya,iringa kwenda kuuwasha moto Arusha,watu wakafariki,udiwani ukawa shubiri,huku wananchi/wapiga kura hasa waliompigia mtu na si chama leo unapowambia hatushiriki katika maamuzi ya Manispaa kwa sababu Slaa ama chama kimegoma watakuelewa?,

Ccm sio wajinga kutimiza masharti yenu ili ionekane Cdm imekula bingo kama mnavyozoea kujisifia hata kwa masuala madogo ndani na nje ya mjengoni.Eti ooooh ''Halima Mdee,amtolea uvivu Mwenyekiti'' mara ''Lissu amshushua Kikwete'' n.k.
 
Nawa kwanza uso, naona unaandika huku ukiwa unasinzia!!
 
Kuelezea unafiki wako ni kazi kubwa sana maana chuki zako zidi ya kamanda Lema ni noma labda kwa mtu ambae ana mna apitie mabadiko haya....
  1. [h=3]Arusha ubunge bado uko wazi kwa batilda,lema na lyimo[/h]
  2. [h=3]Poll: Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema[/h]
  3. [h=3]Urafiki wa Lema na Mawazo wafikia ukingoni[/h]
  4. [h=3]Mzimu wa Sombetini wamtafuna Godbless Lema[/h]
  5. [h=3]Lema azidi kupata umaarufu baada ya kushtakiwa tena[/h]

Soma mabandiko yote bila kengeza la ushabiki alafu linganisha na kinachoendelea sasa utabaki na aibu.
 
Tume imeteuliwa na Katibu Mkuu wa chama bila kikao kukaa, ambaye pia anashutumiwa hapa sijui Marando analeta mapendekezo gani?itakuwa tu Mallah kutimliwa ambaye nguvu isisahaulike kuwa nguvu zake A town si kidogo ndio maana akawa chair wa madiwani wenzie.

Sio haki itendeke bali ionekane kutendeka,kama wakubwa wameshiriki kuvuruga watu huko nao it is high time kuadhibiwa no matter the situation will be,hii si taasisi ama kampuni ya mtu ila mali ya watu/wanachama na wapiga kura wasio na vyama.

Vile migogoro ya namna hii ni vizuri kuachiwa wahusika wenyewe watatue na si kuingiliwa,ni sisi tulitoka dar,moshi,mbeya,iringa kwenda kuuwasha moto Arusha,watu wakafariki,udiwani ukawa shubiri,huku wananchi/wapiga kura hasa waliompigia mtu na si chama leo unapowambia hatushiriki katika maamuzi ya Manispaa kwa sababu Slaa ama chama kimegoma watakuelewa?,

Ccm sio wajinga kutimiza masharti yenu ili ionekane Cdm imekula bingo kama mnavyozoea kujisifia hata kwa masuala madogo ndani na nje ya mjengoni.Eti ooooh ''Halima Mdee,amtolea uvivu Mwenyekiti'' mara ''Lissu amshushua Kikwete'' n.k.

Mkuu kuna baadhi ya wanajamvi wamegeuza JF ukumbi wa kusifia hata visivyosifika.
 
Hapo hawezi kutia mguu, na usishangae akakimbia thread yake kama nape!!

Mkuu Mwita Maranya natumia muda wangu vyema.Siwezi kukimbia hata siku moja nitakuwepo hapa kwa masaa mawili haya leteni hoja zilizosimama.Kuna baadhi ya wanazi wa CDM hawataki hata kukiri mgogro baina ya madiwani na mbunge upo !.
 
Wishful thinking!
 
Leo ni siku ya ngapi tangia Mabere Nyaucho kupewa siku sita, kuwakilisha mezani ripoti? Je wanahesabu weekend?? Nasubiri Ripoti kabala sijaanza kutoa maoni yangu.
 
Nadhani kuna watu ambao mna akili za kibajaji na sio za scania.

Kuna maswali machache sana nataka kukuuliza wewe GONGO Then tutapata majibu ya huu ujinga wako ulioandika humu.

Hivi kati ya diwani na mbunge ni nani anayeweza kumwajibisha mwenzake?

Je! unajua taribu za uongozi na namna ya kushughulikia matatizo kwa ngazi?

Hivi diwani anatoa maamuzi bila kupata kauli kutoka makao makuu ya chama ni demokrasia au ukaidi na utovu wa nidhamu

Hivi watu waliokufa kwenye maandamano kwa sababu ya kupinga umeya wamefufuka mpaka madiwani wamepata nguvu za kugawana madaraka?

Nina maswali mengi zaidi ya haya ila nakushauri ukanawe uso na uelewe nini maana ya taraitibu za chama na hata kinafikia kuwa na msemaji mbali na hapo nakuona kama wewe ni mvivu wa kufikiri hata kuweza kuwasaidia baadhi ya wasaliti wenzako ambao wanajiona wana nguvu ya kumpeleka GL mahakamani kwa Ndoto zenu za mchana

Ushauri wangu kwa wanachadema wote mkoani Arusha ni hivi tusikatishwe tamaa na wahuni wachache na madiwani wenye haraka ya utajiri kwa kuwatoa wenzetu kafara ni hivi hizi ni sio tuhuma tu bali ni usaliti mkubwa na kama utafugwa utakigharimu chama kwa kiwango kikubwa ambacho hawataamini baadaye MADIWANI WOTE WALIOSHIRIKI MAAMUZI HAYO YA MWISHO WAFUKUZWE MARA MOJA NA TUCHAGUE WENGINE WANOJUA MAANA YA NIDHAMU NA KUWATUMIKIA WANANCHI NA SIYO WAROHO WA MADARAKA.
 
Mkuu Mwita Maranya natumia muda wangu vyema.Siwezi kukimbia hata siku moja nitakuwepo hapa kwa masaa mawili haya leteni hoja zilizosimama.Kuna baadhi ya wanazi wa CDM hawataki hata kukiri mgogro baina ya madiwani na mbunge upo !.

Nilikuona kule kwenye jukwaa la dini wakati mjadala huu unazidi kunoga ndo maana nikajua umeamua kuchukua style ya nape.

Unapo demand hoja za msingi wakati ziko mezani tayari ndo kusema huzioni??

Hakuna mgogoro kati ya madiwani na mbunge, kilichopo ni kwamba baadhi ya madiwani wamejichukulia maamuzi ambayo yako juu ya uwezo wao, sasa kuona mbunge ameingilia kati basi wakaamua wajaribu kuponea kwake kwa kuwa hawawezi kumgusa katibu mkuu wala mwenyekiti.
 
Nadhani kuna watu ambao mna akili za kibajaji na sio za scania.

Kuna maswali machache sana nataka kukuuliza wewe GONGO Then tutapata majibu ya huu ujinga wako ulioandika humu.

Hivi kati ya diwani na mbunge ni nani anayeweza kumwajibisha mwenzake?

Je! unajua taribu za uongozi na namna ya kushughulikia matatizo kwa ngazi?

Hivi diwani anatoa maamuzi bila kupata kauli kutoka makao makuu ya chama ni demokrasia au ukaidi na utovu wa nidhamu

Hivi watu waliokufa kwenye maandamano kwa sababu ya kupinga umeya wamefufuka mpaka madiwani wamepata nguvu za kugawana madaraka?

Nina maswali mengi zaidi ya haya ila nakushauri ukanawe uso na uelewe nini maana ya taraitibu za chama na hata kinafikia kuwa na msemaji mbali na hapo nakuona kama wewe ni mvivu wa kufikiri hata kuweza kuwasaidia baadhi ya wasaliti wenzako ambao wanajiona wana nguvu ya kumpeleka GL mahakamani kwa Ndoto zenu za mchana

Ushauri wangu kwa wanachadema wote mkoani Arusha ni hivi tusikatishwe tamaa na wahuni wachache na madiwani wenye haraka ya utajiri kwa kuwatoa wenzetu kafara ni hivi hizi ni sio tuhuma tu bali ni usaliti mkubwa na kama utafugwa utakigharimu chama kwa kiwango kikubwa ambacho hawataamini baadaye MADIWANI WOTE WALIOSHIRIKI MAAMUZI HAYO YA MWISHO WAFUKUZWE MARA MOJA NA TUCHAGUE WENGINE WANOJUA MAANA YA NIDHAMU NA KUWATUMIKIA WANANCHI NA SIYO WAROHO WA MADARAKA.

Derimto,

Ukitaka kujuzwa jambo uliza maswali yako kwa njia ya kistaarabu.Matusi sote tunajua sana.
 
kwa hiyo ulitaka aandike zuri gani la Godbless Lema? kama lipo si uliandike wewe, kwani umeambiwa huyu yupo hapa kwaajili ya kuandika mazuri ya Godbless Lema................................!!!!!!!!!!!!?????????????????????
Crap!

Hujawahi andika Zuri la Mh G Lema
 
Derimto,Ukitaka kujuzwa jambo uliza maswali yako kwa njia ya kistaarabu.Matusi sote tunajua sana.
Sawa nimekuelewa nijibu basi hayo maswali kama una hoja za msingi kuliko kutukera humu jamvini kwa vitisho vya wahuni wachache walionunuliwa kwa masilahi ya magamba
 
Derimto,

Bango lako lina maswali mawili tu,mengi ni porojo zisizo na maana.

Umeuliza hivi kati ya mbunge na diwani nani anamwajibisha mwenzake.

Jibu,Hakuna mwenye uwezo wakumwajibisha mwenzake.Mbunge ana kazi zake na madiwani wana kazi zao.Mbunge ni diwani ila diwani si mbunge.Wote Madiwani na wabunge wanawajibishwa na vyama vyao.Mbunge si kiranja wa madiwani.

Umeuliza je ninajua taratibu za uongozi na namna ya kushugulikia matatizo kwa ngazi.

Jibu,Ndiyo nina fahamu
 
kwa hiyo ulitaka aandike zuri gani la Godbless Lema? kama lipo si uliandike wewe, kwani umeambiwa huyu yupo hapa kwaajili ya kuandika mazuri ya Godbless Lema................................!!!!!!!!!!!!?????????????????????

Shangingi kweli kweli
 
Sawa nimekuelewa nijibu basi hayo maswali kama una hoja za msingi kuliko kutukera humu jamvini kwa vitisho vya wahuni wachache walionunuliwa kwa masilahi ya magamba

Derimto,

Nadhani wewe ni rahisi zaidi kununuliwa na magamba kuliko mimi.Jaribu kufanya utafiti kidogo watu wapesi kurubuni mara zote hawana uwezo wa kujenga hoja[Mipasho eg Tambwe Hizza,Steven Wasira na Derimto],upenda kufuata upepo kama bendera kila nikitazama mabandiko yako unaangukia kundi hilo.
 
Miss Parliament, unaweza kuthibitisha hayo uliyoandika? sijui ni kitu gani kinakukera.uko obsessed sana na majina ya watu....Let us give the mass what they deserve.Change ndiyo tumaini na matamanio ya watanzania.Hawako interested kusikia unayoandika hapa. Unless a man has been humiliated and managed to keep his head high we really do not know how he would respond to such circumstances. Winston Churchill and Abraham Lincoln were men who knew numerous defeats,exploitation,oppression and humiliations and from them learned how to manage precarious situations where men’s vanity is at stake.So do I and managed it admirably. I will not show anger at anybody,dont expect that from me. I will not go about bearing grievances and seeking vengeance for the attack on my pride.Whatever is happening/happened I took it on the chin like a good soldier should and lived to fight another day. Iam not petty at all. Tujikite kwenye sensible debate,let us spend our time,energy and other resources prudently!have fun on your own,afterall unajificha kwenye ID fake......wewe sio mwanachama wa kweli,huna dhamira njema na sisi.Good job though! Hebu nitoke kwenye huu mjadala kuna mijadala mingine
Ben, Huyo anaonesha mlijeruhiana katika uchaguzi wa BAVICHA.
 
Back
Top Bottom