Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

Huwa nakuona makini sijui Leo kwanini umetumia speculations? Kama Mbowe ni mkatili Mdee ange survive? Hao waliomtukana bungeni kina Lijualikali na Silinde wange survive?
Wewe unajiita zitto junior, Zitto original amewahi kuandika humuhumu JF akiwa naibu katibu mkuu wa chadema, kuwa hao wahuni wakithubutu kumfanyia kama walivyomfanyia Wangwe, hata mende kwenye vyoo vyao hawatasalimika. Was he stupid?

Labda naye bila ule mkwara tungeshamsahau.
 
Ohooo kumewaka!
troll48.jpg
 
Mleta mada tafuta mtu akuoe upate muda wa kuwa bize.

Wewe ni taga pure mambo ya CHADEMA ya kazi gani?

Wakigombana si ndio vizuri kwenu?
 
Uongo wa kiwango cha SGR.Hivi Halima Mdee mwana CCM na adui mkubwa wa Chadema anawezaje kupata uungwaji mkono ndani ya Chadema?

Mtazusha mengi sana mwaka huu. Sukuma Gang hii staili mnayotumia kupandikiza mgogoro Chadema haitafanya kazi. Msoga Gang imewazidi kete hasira zenu mnamalizia Chadema.
 
Umeandika Kweli kuhusu Mnyika kutokuwa na upande au kutabirika na hujui sababu!!!

Anyway mengine ni SIRI za CDM,

Nawashauri CHADEMA wafanye pia propaganda japo Kwa uchache, maana Lumumba wamewekeza sana huko.
Uzuri ni kuwa hizo propaganda zinawafurahisha wenyewe sawa na mtu anayepiga punyeto akijua kuwa anajiongopea mwenyewe kuwa anakula mzigo.
 
Mbowe Hana urobo wa madaraka Hana kabisa,unamlisha maneno tu paka shume wewe.Mbowe amewapisha wangapi wakagombea urais?
 
CCM OYEEEEH!!!!!

MAKAMANDA PEOPLEEEEEEEEEES!!!!!

Mgogoro wa kimchongo Huu!!!

Kuna lengo la kugawa Chama Ili tupate VYAMA viwili vikubwa vya upinzani je ni ACT!?NCCR!?

Ngoja tuone!!
 
ujinga tu huo, hamtaweza kukigawa chadema mtandaoni, kwa kuwa hakikujengwa mtandaoni.
kwa namna mbowe alivyookoa uhai wa lisu na pia jinsi alivyojitoa maisha yake kiuchumi na kiuhai hakuna mtu tanzania hii awe wa ccm au mpinzani anaeweza kumfikia mbowe na hakuna.

umetumwa na limtu uje kujaribu watu huku nyoko wewe
Hata kuwaza tu huwa siwazi kuwa kuna siku Lissu, atamkosea adabu Mbowe, hasa ,hasa alivyookoa maisha yake! Sidhani kama Lissu, na sisi tunaompenda, tunaweza kuonyedha ukosefu wa shukraan kwa Mbowe!
Pia, huwa nawaza, hivi, kwa mfano, Mh Lissu angefariki muda mfupi tu baada ya kufikishwa Kenya, bila shaka huyu aliyeleta uzi huu, na MATAGA wengine, wangekomaa sana na Mbowe kuwa ndiye aliyemuua, na kudai angepelekwa Muhimbili walikotaka kumpeleka kukataliwa na Mbowe, angepona!
Mwenye Enzi Mungu azidi kumpa maisha marefu Freeman!!!!
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada...
Yaani watu wengine bure kweli. Huyu mzee mgojwa na amesahau kila kitu kwa ugojwa wake leo hii ataweza vipi kuongea mambo ya siasa wakati nasikia hata jina lake hakumbuki🤔! Tuache kuzusha vitu ambavyo havipo
 
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.

Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.

Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.

Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".

Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.

My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
propaganda za kijinga
 
Back
Top Bottom