Hapajatokea tena Mteule wa Rais ambaye anaweza kumweleza Rais kuwa Mfumo wako siyo sahihi tufuate Mfumo huu kama alivyofanya Edwin Mtei!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,028
Na baada ya mwalimu Nyerere kuukataa Ushauri wa Mzee Edwin Mtei ndio tukaingia kwenye dimbwi la Umaskini

Afadhali sasa CCM ndio imeuchukua Ushauri ule wa mzee Mtei wa miaka 40 iliyopita na Nchi inafunguka Kiuchumi

Mungu wa Mbinguni Ibariki Chadema

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
wewe ulimweleza Magufuli kuwa kuua watu hakufai? Ndiyo nyie WAHUNI aliokuwa anawasema aliyeko Cuba! :D :D :D :D :D
 
Back
Top Bottom