NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Kwa taarifa yenu siku tutakayonunua Dowans ndio mwisho wa mgao inji hii !!!!!
kama hamuamini shauri yenu ................
kama hamuamini shauri yenu ................
Tumekusikia, LOUD and CLEARKwa taarifa yenu siku tutakayonunua Dowans ndio mwisho wa mgao inji hii !!!!!
kama hamuamini shauri yenu ................
kama nakumbuka vizuri, muungwana si alisema kuwa mgao utakuwa historia? au sikumwelewa?
Kwa taarifa yenu siku tutakayonunua Dowans ndio mwisho wa mgao inji hii !!!!!
kama hamuamini shauri yenu ................
kama nakumbuka vizuri, muungwana si alisema kuwa mgao utakuwa historia? au sikumwelewa?
CCM LONDON wanakula Bata tu, huu mgao wa Tanzania wao hauwahusuMie naona safi tu.
Ila wakisema wanataka kununua mitambo ya DOWANS basi tule nao sahani moja hadi kieleweke. Hapa itabidi CHADEMA kama kweli wanatutakia mema, basi tuwaone sasa. Hapa itabidi kama Mwakyembe anataka kujiosha madhambi yake, basi na agome tumuone. Kama Sita. Zito na wengine wanataka kuwa Watanzania wazalendo, kazi sasa ianze.
Heri tudumu kwenye GIZA HADI UCHAGUZI. Labda watu wa Dar wataanza kuona umuhimu wa kuwa na vyama vya upinzani. Inasikitisha Dar pamoja na kuwa na wasomi wengi, CCM wameshika hatamu.
SAY NO TO DOWANS. Wiki lijalo nabadilisha sahihi yangu. Ngoja nipekue sentenzi nzuri inayopinga
Dowans.
CCM LONDON: Mnasemaje kuhusu hili? CCM Moscow je?
Mzee Mwanakijiji unaogopa nini kujibu? Tunasubiri majibu yako mzeeMzee Mwanakijiji naomba uwe mkweli....hata SHETANI umpe haki yake. Hebu tusaidie kudadavua hii siri, siri yenyewe ni hii....sio kweli kwamba Muungwana na yeye ali RICHMONDIKA ila kina Mwakyembe waliamua kumsitiri?