kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,906
Katika dhambi iliyowahi kufanyika nchi hii ni kumteua Makamba na Maharage TANESCO
KWANZA NAANDIKA HUU UZI NIWEKE WAZI SINA CHUKI NA MAKAMBA WALA MAHARAGE ILA NITASEMA UKWELI TU BILA KUMUNG'UNYA MANENO HAWA WAWILI WALIPASWA WAWE JELA
Hakuna dhambi mbaya itakayolicost taifa kwa miaka 10 ijayo kwa hasara na kulipia madhambi kama hii dhambi ya kumteua Makamba kuwa waziri wa nishati na Maharage kuwa boss wa Tanesco!!
Alichokifanya Makamba ni kubomoa misingi yote ya ukuaji na uimarikaji wa shirika, kabla ya ujio wa Makamba na Maharage tulikua tushaanza kutoka kwenye yale matatizo makubwa ya umeme na tulikua na uafadhali mkubwa sana hali ilikua imeimarika sana kiasi kuna maeneo yalikua umeme haukatikagi kabisa basi ukikatika hadi mnashangaa na dk kadhaa tu unarudi.
Tulikua tushasahau kabisa shida za umeme kukatika kwa masaa mengi but What Makamba and maharage did?
-Wakakodi application software kutoka India kwa bilioni 70
-Kufungulia maji bwawa la Mtera na kufanya nchi kuingia kwenye mgao
-Akasema apewe trilioni 5 apeleke umeme vijiji vyote
-Bado akaomba trilioni 15 nafikiri eti ni kukarabati mitambo nikasikia wakaanza kumpa bilioni 500 kila bajeti akazipiga
-Akaongea na watu wake wa nje wakaleta majenereta karibia elfu 10 ya kuuza
-Bado ishu za mafuta akatupiga
-Akalihujumu bwawa la Nyerere kwa maksudi maana huyu jamaa na mwenzie yule wa Mtama waliupinga huu mradi kwa nguvu zote, baada ya kuona kelele zimezidi akakubali mradi uendelee kwashingo upande maana anajua madili yake ya Solar,mafuta,na jenereta zingekufa.
wakasuka mpango wa kulihujumu bwawa hata likija kukamilika litoe megawatts 300-400 pekee badala ya 2000+ ili waendelee ni miradi yao uchwara ya upepo,solar,majenereta na mafuta.
Mabilioni ya mita za luku yeye na maharage wakazipiga
Bado zile ngonjera za matengenezo kila mwaka umeme unakatika anasema ni matengenezo na kudai mitambo ni mibovu so anabadilisha na apewe pesa.. kumbe za kutoka huko huko Tanesco zinadai alikua saa nyingine umeme ukatwe tu na wafanye matengenezo feki ili hela tu zipigwe na mgao uwepo auze majenereta na mafuta.
Mara kafumua gridi mara kafanya hivi mara kafanye vile zote zilikua ni drama na miradi ya upigaji tu.
Nikikaa sawa nitamwaga mafile yote ya huyu mtu humu mtashika mdomo kila mmoja kwa mshangao msione tunanyamazaga, tunayajua mengi mno makovu na vidonda aliyoliachia taifa huko Tanesco litachukua zaidi miaka 10 kupona.
Katika dhambi iliyowahi kufanyika ni kumteua huyu bwana pamoja na Maharage, Rais Samia kwa hili ulikosea hii dhambi ni ya kutubu kabisa na kuliomba taifa zima radhi .
Watu kama Makamba na Maharage bila kumung'unya maneno au unafiki walipaswa kuwa jela na kuwa chini ya mikono na hatua kali za kisheria, ingekua ni nchi nyingine wangekua washanyongwa!! Walichokifanya pale Tanesco ni wizi,ufisadi,rushwa na uhujumu uchumi uliopitiliza!!