Makamba na Maharage Chande walikuwa wanafanya makusudi kuwe na mgawo? Mbona tangu wameondoka ni kama hakuna mgawo?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua.

Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio unawaka mida ya saa 12.

Kuhusu kazini kwangu jenereta lilikuwa linawashwa sana tu.

Nilishazoea hapa nyumbani ikifika saa moja usiku umeme unakata mpaka saa tatu usiku, siku za weekend unakata asubuhi hadi jioni, yani huku ndio kulikuwa na angalau.

Lakini kwa sasa najionea meza imepinduliwa, ni kama vile hakuna mgao wa umeme, ni kweli umeme waweza kukatika ila sio kiasi cha kusema kuna mgawo.

Naanza kupata mashaka sasa, labda kulikuwa na nia ovu ya kupunguza umeme kwa maksudi
 
Kuhusu kazini kwangu jenereta lilikuwa linawashwa sana tu,

Nilishazoea hapa nyumbani ikifika saa moja usiku umeme unakata mpaka saa tatu usiku, siku za weekend unakata asubuhi hadi jionj, yani huku ndio kulikuwa na angalau.

Lakini kwa sasa najionea meza imepinduliwa, ni kama vile hakuna mgao wa umeme, ni kweli umeme waweza kukatika ila sio kiasi cha kusema kuna mgao.

Mgao uko pale pale kama vile maharagwe au kipara wako ofisini tu ..
 
Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio unawaka mida ya saa 12.

Kuhusu kazini kwangu jenereta lilikuwa linawashwa sana tu,

Nilishazoea hapa nyumbani ikifika saa moja usiku umeme unakata mpaka saa tatu usiku, siku za weekend unakata asubuhi hadi jionj, yani huku ndio kulikuwa na angalau.

Lakini kwa sasa najionea meza imepinduliwa, ni kama vile hakuna mgao wa umeme, ni kweli umeme waweza kukatika ila sio kiasi cha kusema kuna mgao.

Naanza kupata mashaka sasa, labda kulikuwa na nia ovu ya kupunguza umeme kwa maksudi
Duh huku kwetu kila siku lazma wakate
 
Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua.

Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio unawaka mida ya saa 12.

Kuhusu kazini kwangu jenereta lilikuwa linawashwa sana tu.

Nilishazoea hapa nyumbani ikifika saa moja usiku umeme unakata mpaka saa tatu usiku, siku za weekend unakata asubuhi hadi jioni, yani huku ndio kulikuwa na angalau.

Lakini kwa sasa najionea meza imepinduliwa, ni kama vile hakuna mgao wa umeme, ni kweli umeme waweza kukatika ila sio kiasi cha kusema kuna mgawo.

Naanza kupata mashaka sasa, labda kulikuwa na nia ovu ya kupunguza umeme kwa maksudi

Ulichoandika ni wishful thinking ndugu biteko ..
 
mgao upo na please usidhani maharage na chande ni watunwa hovyo kiadi hicho
 
Back
Top Bottom