Sashel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 212
- 84
sual ni kuishi kitakatifu kwa mujibu wa maagizo ya Mwenyezi Mungu.....
mkate wa kila siku upi ambao mumeo hauleti?
mkifuata mafudisho ya Mungu hamtakaa kutalikiwa na kuitwa majina mabaya ya kidhalili.......
Hilo la utakatifu na kufuata maagizo ya Mungu si la mwanamke pekee, linahusu wote mme na mke. ajabu ni kwamba wanaume wengi wanataka wake zao wawe na utii, wema..etc lakini wao wawe vyovyote tu..it has never and will never work. mtu huvuna anachopanda. Na kuhusu talaka hiyo ni hasara ya wote wawili si ya mwanamke pekee maana hakuna anayeoa ili baadae aache au aachwe, na mara nyingi wanaume hawatoi talaka lakini unakuta wanawake ndio huondoka kwa kuchoka manyanyaso.
Binafsi naelewa kuwa ndoa ili iwe yenye furaha ni wanandoa wote wawili kutimiza majukumu yao, ikiwa mmoja tu ndiye anaejali, hiyo ndoa ni rahisi kuharibika.