Mfumo jike una cost ndoa nyingi

mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......

mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......

mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......

wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima

Jamani nisaidieni nasikia kihindi hindi wallaih,ntakata roho bureee
 
nimekuja kugundua jambo linalofanya ndoa nyingi nyakati hizi kusumbuliwa na maendeleo waliyopata wanawake!ukuu wa familia kwa mwanaume kwa nyakati hizi unahojika!ni kama mwanaume alikuwa mkuu ktk familia ama kwa ajali au bahati au kwa kurahisishiwa na mapokeo,juzi kati mwanaume aka-justify ukuu wake huku akichagizwa na biblia kuwa atapaswa kuilisha na kuitunza familia yake,mwanaume akaendelea kuwa mkuu.

leo harakati za women emancipation zimempa fursa mwanamke kuwa na uwezo na maendeleo ambayo mapokeo yalimbania kuyapata!na wala si jambo la ajabu mwanamke kumzidi mwanaume uwezo wa kifedha na hata mali vitu vinavyompa mwanamke uwezo zaidi ya mumewe kuilisha na kuitunza familia,mambo ambayo ndiyo yaliyompa haki mwanaume kuwa mkuu au kichwa cha familia!

Sasa swali linakuja,kama mwanamke leo ktk ndoa anaweza ku-provide zaidi ya mumewe,then ukuu wa mwanaume upo wapi?na elimu kama kakuzidi,maana yake anaweza kuchukua maamuzi tena yakawa bora kuliko mwanaume maana yake hata ktk kuchukua maamuzi mwanaume umezidiwa,jee ukuu wa mwanaume upo wapi?kifupi ni kwamba ukuu wa mwanaume unahojika!

Na shida kubwa inakuja pasipo na kiongozi au uongozi mambo hayaendi,ndio maana ndoa nyingi siku hizi ni segemnege!na hapo ndio utajua busara na hekima za Mungu mwenyezi kumteua mwanaume kama kiongozi wa asili ktk familia kwa mujibu wa maandiko na maelezo ya ktk dini.

Nini kifanyike?

1.Wanawake tumekubali mnaweza,twendeni taratibu basi sio kama tupo ktk vita kuu ya 3 ya dunia baina ya wanaume na wanawake

2. Wanaume,hamkani si shwari tena,mambo yamebadilika nasi tuendane na hali halisi iliyopo

3.Kama ukuu wa familia its a big deal basi tuwe tunafanya chaguzi kuu ndani ya familia,wapiga kura watoto,mwenye mali nyingi,mahela mengi,anayejali zaidi,mwenye madegree mengi ndio achaguliwe mkuu wa familia...labda tutafika!

option no 3 imenifanya mimi mwenyewe nicheke!haaa!haaaa!haaa
 
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......

mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......

mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......

wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima

unajua kwa nini wanawake wameacha majukumu yao ya nyumbani ni coz wanaume wameacha majukumu yao kama tungekuwa tunatunzwa na kupendwa sisi na watoto wetu sidhani kama kuna mwanamke ataacha mntoto wake 3 months kwenda kutafuta ajira,mbaya zaidi mwanaume akifa mjane ananyang'anywa kila kitu na ndugu wa mme, jamani acheni wanawake wasome wawatunze watoto wao!
 
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji......

mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa......

mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu......

wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima

Somo halipandi hata kidogo! Mume ni boss na hapo hapo ni "mungu" wa mwanamke. Basi duniani kuna miungu wengi sana. Yo Yo nadhani utakuwa unazungumzia miungu wa kihindu na sio Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa bure; mnaonaje mkioana wenyewe kwa wenyewe ili ndoa zenu zidumu?
Mfumo jike is here to stay!

Kaunga,nakuheshimu sana,comment hii haiendani kabisa na reputation yako hapa jf,matusi si lazima uandike maneno ya matusi!

Najihisi umenitukana Kaunga!can u please apologize at least to me,who asks for your apology?if not to all men!
 
dini zote zinaelekeza vyema njinsi ya me na ke kuheshimiana kabda ya kumsema mwezako angalia kwanza umetimiza vigezo na masharti ya Mungu kuzingatiwa.
 
Kaunga,nakuheshimu sana,comment hii haiendani kabisa na reputation yako hapa jf,matusi si lazima uandike maneno ya matusi!

Najihisi umenitukana Kaunga!can u please apologize at least to me,who asks for your apology?if not to all men!

Nyie oaneni tu Mc Tilly Chizenga......ili muepuke hayo yote!!
Maanake mnaboa, kila siku mnalalama badala ya kucope na changes!
 
Last edited by a moderator:
chanzo chai matatizo yote wanaume, kama mwanume utatimiza majukumu yako vizuri nyumbani, mke atakupenda na kukutii, sasa utakuta mwanume akiwa na hela nyumbani anahama, haachi hela ya kula manyanyaso kwanini wanawake tusiamke. kila mtu aplay role yake maisha yatakuwa mazuri
 
Maswali mengine bana!!!Dah. . .nwy sio sababu hata kidogo. Tunapaswa tufanye yote sisi wanawake, tuanze na majukumu mpaka sifa mnazotakiwa kuwa nazo nyie.

Hahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiii mbavu zangu aaah
 
mwanaume kaumbwa amtawale vema mwanamke.....sio kum piga wala kumnyanyasa.....kutoka kazini na kufika nyumbani kumpikia mumeo,kudeki,kufua sio unyanyasaji...... mwanamke na akae nyumbhani kulea watoto sio kila siku semina haziishi hyatt hotel......unyanyasaji mnaosemema nyie ni majukumu yenu ambayo sasa hivi hamyataki kabisa......mko busy sana......mnasahau waume zenu ambao ndio maboss wenu duniani hapa...... mwanamke hapa duniani mumewe ni kama mungu wake...ndio anaemuongoza kwenye kila kitu...... wapendeni waumje zenu kama waume zenu wanavyowapendeni.......pia someni biblia na kuran mpate uelewa wenye hekima

Iam the boss of my own..........nobody including mume can take control of me. Kichwa changu ndio serikali yangu......NOTE BETTER!

Mume ni kama mwenza tu....kwahivo tutaongozana kwenye kila kitu!

Hence...there is no any exception, however the option is, whether you take it or else....CHAPA LAPA, full stop!!!!! Mmetesa sana mama zetu nyie kwa kisingizio cha mfumo dume na mpango wa mungu.

FYI; yaaani ndo kwanzaaa kunakucha.....jipangeni upya!!
 
Kaunga,nakuheshimu sana,comment hii haiendani kabisa na reputation yako hapa jf,matusi si lazima uandike maneno ya matusi!

Najihisi umenitukana Kaunga!can u please apologize at least to me,who asks for your apology?if not to all men!

Freedom of speech.....mbona unajishtukia?!
 
Kakondoo una ofa ya kiepe weekend maana hawa wavulana umewajibu sawia.

Alafu naona umenichunia siku hizi, sijui ni kwasababu nimekuwa mama yeyoo.

Mama mchungaji hawa watu naona wanarukaruka tu eti mpango wa Mungu......khaaa!!! We nigee tu kiepe niongeze maakili maana ndo ugonjwa wangu huo!! lol

mmmmhh...........mie sijakuchunia bana, we ndo huwa unaonekana kwa machale.
Ntakustua baadae basi Lizzy!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom