asha ngedere
Member
- Nov 6, 2009
- 92
- 11
Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.