Mfanyabiashara anunua vijiji vitatu Songea

asha ngedere

Member
Nov 6, 2009
92
11
Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.
 
habar nusu-nusu uwa sina stimu nazo kabisa. unaleta habari hafu unataka sisi tukujuze!
 
Mkuu Ng'wanangwa hujanielewa. Ndiyo maana nimesema kuna taarifa ya kununuliwa kwa vijiji kule Songea, kama ningekuwa na detail zote ningezimwaga. Naamini wapo wadau ambao wanalielewa suala hili, hivyo si vibaya kuchangia.
 
samahani, lakini nashauri uipe status ya 'tetesi'
 
habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani songea, kikiwemo kijiji maarufu cha matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.
kwetu tunawekaga magogo barabani na kufyatua mishale kwa wawekezaji
kila mwaka wawekezaji wanakuja na wanatimua mbio tunapowaanzishia
 
kwetu tunawekaga magogo barabani na kufyatua mishale kwa wawekezaji
kila mwaka wawekezaji wanakuja na wanatimua mbio tunapowaanzishia

nimesikia leo asubuhi kwenye radio one nipashe, kuna mwekezaji mwingine tena amenunua ardhi ya kijiji / vijiji (sijui vingapi) huko tanga (kama sikosei), anataka kulima mkonge, watu wameishi hapo for more than 40 years, na sasa wametakiwa kuondoka na walikuwa wanaamishwa kwa nguvu na polisi, kuna bibi mmoja alikuwa analia sasa aende wapi na uzee wake huu?? alitia huruma sana sana!! kwanini serikali haiwajai wananchi wake??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom