hawa si ndio wale mapedejee wanaowaliza wageni copper na almasi feki ,,..du!!...kweli you can not loot from mafia and enjoy the loot....ukiwatapeli mafia watahakikisha pesa yako haikunufaishi wewe wala kizazi chako.....
nadhani ingekuwa mimi muzamil ningeenda NGWASUMA nikatoa uume hadharani ...ili kuwahakikishia wadau kuwa bado dume.....lol..
wapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!
wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
Baadhi ya hawa ma PEDEGEE/PDG wana historia ya uhalifu.Cha kushangaza askari wanaweza kusema hawawajui.... au hawajui watawapata vipi! LOLwapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!
wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
Baadhi ya hawa ma PEDEGEE/PDG wana historia ya uhalifu.Cha kushangaza askari wanaweza kusema hawawajui.... au hawajui watawapata vipi! LOL
Kuendekeza njaa zetu tu. Asilimia kubwa ya wanaoimbwa kwenye miziki ya kwetu ni watu ambao wanawatunza.Hapendwi mtu zinazopendwa ni pesa tu!!Hata kama ni zile zitokanazo na ibada ya kishetaniwapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!
wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
Duuh, unajua watu wenye hela za mizengwe wanakawaida ya kutembea wakizirusha kwa watu wa usalama kama hawana akili nzuri. Hukumu za watu wanaonunua haki mara nyingi hazitekelezwi mahakamani. Ni kama hili soo la kunyofolewa kiungo muhimu maana kwa pesa, na corrupt system haki utaipatia wapi. Nahisi hata wewe unajua hilo ila unajaribu kumtetea pengine mfadhili au ndugu yakoTatizo la msingi ni kuwa pale ushahidi wenu mnaoyajua matendo yote maovu ya mnaowatuhumu unapohitajika, huwa hamjitokezi mahakamani au hata polisi tu kutoa taarifa zenye kuweza kusaidia.
Na kwakuwa mahakama huendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na haki za binadamu, hakuna anayeweza kufungwa kwa kufuata hisia tu za majority au minority bila kuwapo ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hizo.
Labda wanasheria waliobobea wanaweza kutoa semina elekezi kwa wadau hapa
dada nanihii umeshampigia muzamiri simu?Tatizo la msingi ni kuwa pale ushahidi wenu mnaoyajua matendo yote maovu ya mnaowatuhumu unapohitajika, huwa hamjitokezi mahakamani au hata polisi tu kutoa taarifa zenye kuweza kusaidia.
Na kwakuwa mahakama huendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na haki za binadamu, hakuna anayeweza kufungwa kwa kufuata hisia tu za majority au minority bila kuwapo ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hizo.
Labda wanasheria waliobobea wanaweza kutoa semina elekezi kwa wadau hapa
Nimejaribu kuzungumza kwa simu na ndugu pamoja na jamaa kadhaa wa Katunzi (Benedict, Matungwa and a few others), wote wanashangazwa kusikia uzushi huu.
Again and again, tunaomba kuthibitishwa kwa taarifa hizi.
Jack peeeemba[/B]!, upumbavu mtupu!
milioni wapi basi......buku 10 10 ukimpa weeekend lazima akuimbe.....Mwimbo mzuriiiiii lakini ukifikiria anaimbwa nani, ladha yote inapotea.At times ukitaka usikilIze angalau melody basi unaswitch off kusikiliza maneno.tabu tupu!
Ila nasikia those guys pay upto a million Tsh.kuimbwa ili kuwapatia umaarufu!
Yoyo unabalaa wewe au na wewe uko juuu......milioni wapi basi......buku 10 10 ukimpa weeekend lazima akuimbe.....
.....na hawa bongo fleva nao wameanza kuniudhi.....kuna haka kajamaa kana duka la nguo sinza ZIZZOU FASHION wanamuimba sana mpaka kero kila ghani ya mwanamuziki wanampaisha
angalieni hii jide nyimbo nzima anapaisha watu
YouTube - Ledy JD Mko Juu